Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tangu lini mzungu akawa mkenya ??😂😂
Huyu Langat ni mzungu?

Screenshot_20220328-201035.png
 
Wakunya mnaona sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia? Angalia road ilivyo na ubora na imejengwa na kampuni ya kizalendo, see the one and only express way with BRT lanes in East and Central Africa. Wakenya mtafika hapa mwaka 2500 mkiwa hoi sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2225736View attachment 2225737View attachment 2225738
Sasa mshaanza kubandika hio highway iwe EXPRESSWAY after Nairobi expressway imekuwa popular 😅 do you know what an expressway is? Expressway ni controlled multiple lane road ambayo haina traffic lights wala stop signs wala crossing sections kati yake.. is kimara kibaha highway a controlled road? Nimeona zebra crossing kibao...acha kuwa desperate msee
 
Sasa yeye kuzalisha hizo beverage huko kunyaland kuna uhusiano gani na Tanzania? 🤣🤣🤣🤣

Umeparamia tweet ya asie na exposure kama Wewe mwishowe unajiaibisha tu
Usinilete hasira. Did you know that Tanzanian parliament was designed by Kenyans? Meaning Kenyans know all the emergency exists are and where all the cameras are situated. Kenyans know where your president can hide incase your parliament is attacked when the president is inside.

1649326409199.jpg


images (3).png


images (40).jpeg
 
Sasa mshaanza kubandika hio highway iwe EXPRESSWAY after Nairobi expressway imekuwa popular [emoji28] do you know what an expressway is? Expressway ni controlled multiple lane road ambayo haina traffic lights wala stop signs wala crossing sections kati yake.. is kimara kibaha highway a controlled road? Nimeona zebra crossing kibao...acha kuwa desperate msee
Onesha trafic lights kwa kimara-kibaha highway.
 
Back
Top Bottom