Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is the lie, zingine ni same road just changing names after an intersection.
Si umeona utoto walio nao hawa mbwa, hii battle ya dual carriage ways ilishapita na wakanyoosha mikono juu, leo wanakuja tena na utoto ule ule, hawa jamaa lishe hamna ndio maana wanasahau sahau sn.
 
wahitaji roads 20 ngoja niwaongezee

15. Lumumba road
16. Uhuru road
17. Morocco to Tegeta road
18. Shekilango to Bamaga road
19. Coco beach road
20. Road ya Fire to Serander bridge mnaitaje? UN road?
Wanakuambia unarudia rudia road
 
Si umeona utoto walio nao hawa mbwa, hii battle ya dual carriage ways ilishapita na wakanyoosha mikono juu, leo wanakuja tena na utoto ule ule, hawa jamaa lishe hamna ndio maana wanasahau sahau sn.
Jengeni barabara kwanza

tz-pic-data.jpg
 
kumbe unajua barabara za Dar kuliko mim.. afu mnasema sis ndo tunawafilia nyie sana

why not mention yours first

ila kwenye dual roads, Dodoma region ndo baba lao East and Central Africa nzima
It's called being knowledgeable. Hata za Kampala nazijua, za Nairobi nazijua, za Mombasa nazijua, na miji mingine mingi. Halafu hizi barabara zote ziko Google maps unaweza ziangalia wakati wowote ukitaka. Hiyo sii kufuatilia bali kujua Geography. Ila mtu wa kawaida Nairobi hafuatilii Dar kama wa Dar anavyofuatilia nairobi.

Halafu kulinganisha Dodoma na miji ya Kenya kwa dual carriageways ni kicheko. Shida yenu Wabongo vitu nyingi mmepata juzi so mnakuwa excited. Hivi Dodoma utapata barabara kama hii iliyoko Mombasa? Heehee

E3gJQDJWEAAFPBB.jpeg
A-section-of-Dongo-Kundu-bypass-1200x750.gif
 
Huyu elimu kichwani hana, unawezaje kujua miundombinu ya nchi nyingine bila kufuatilia, shule hamna humu.
 
daily dosage is scum
Mbona unakuwa kilaza kama mwenzako? Expressway ishajengwa, barabara ya chini billioni 9 za Kenya zishatengwa ijengwe. Hizo picha mnazoshare ni kitu kinachoitwa passage of traffic kwa lugha ya kihandisi - yani a temprary road to serve while the main road is under construction.
1.jpg

Halafu mbona Huweki km? Heeheee, isijekuwa Thika Road pekee imezishinda hizo zote kwa urefu maanake Thika road ni over 60km na inaongezwa up to Nyeri phase 1 (153km) then up to Isiolo phases 2 and 3 (264km). Heehee
Unajitapa na thika tu?Morogoro Road 6lanes to 8lanes ni 39km...tunajua thika ni 40km na uache uongo
 
Mbona unakuwa kilaza kama mwenzako? Expressway ishajengwa, barabara ya chini billioni 9 za Kenya zishatengwa ijengwe. Hizo picha mnazoshare ni kitu kinachoitwa passage of traffic kwa lugha ya kihandisi - yani a temprary road to serve while the main road is under construction.
View attachment 2225943

Mbona unalalamika sana,hii ni battle no mercy
 
Unajitapa na thika tu?Morogoro Road 6lanes to 8lanes ni 39km...tunajua thika ni 40km na uache uongo
Heeheee

Basi wewe huijui Thika Road.

Thika road dual carriageway extends all the way from Nairobi to a town called Kenol - 60km. The 40km you hear about are the section that was expanded from 4 lanes to 12 - 8 lanes.
From Kenol, it is being expanded another 90km to Nyeri. Ujenzi huu hapa.

20220326_125525-jpg.2972794

Usidhani tumefanana.
 
Back
Top Bottom