7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Aisee mambo ni moto sana nilikuwa ninajua mwisho ni Mbezi.
Aisee mambo ni moto sana nilikuwa ninajua mwisho ni Mbezi.
Where is the lie, zingine ni same road just changing names after an intersection.Nimeweka hizo coz u said less than 10.
Gosh.Where is the lie, zingine ni same road just changing names after an intersection.
Gosh.Hiyo niliyokuwekea ukasema nizoom in ndio uone kama kweli barabara ni vumbi, nikazoom in ndio uone. sasa ulitegemea nizoom out zaidi ndio barabara zenyewe zisionekane ama vipi?
Safi sana.Itarahisisha usafiri na kupunguza kwa kuunga unga magari. Kwahiyo unaanzia Chalinze gari moja hadi Kariakoo au Posta.Tuna mpango wa kuifikisha Chalinze
Kazi ipo.Huwezi weka moja halafu useme umemaliza. Nataka zote. Maanake hapa naweza kuwekea Thika road ambayo ni 60km na bado inaongezwa hadi 153km na ninyamaze.
Swali zuri sana.Hivi Nairobi nzima hakuna barabara ya vumbi hata moja?
Dual lanes
1.nyerere road
2.bibi titi road
3.ali mwinyi road
4.msimbazi street
5.kawawa road
6.toure drive
7.barack Obama drive
8.morogoro road
9.mandela road
10.sam nujoma road
11.chang'ombe road
12.kilwa road
13.mtongani changombe road
14.nyerere bridge road
Mbona nyingi humu picha zake zinawekwa mpaka mtaa unatajiwa kabisa,muda huo unakuwa umeshavaa miwaniZiko lakini huwezi compare na Dar amabayo ni main road pekee ndio ziko paved.

??Zipo ila sii kama Dar.Hivi Nairobi nzima hakuna barabara ya vumbi hata moja?
Ila munarudia rudia manjia maanake hiyo Coco Beach road na Toure Road ni the same road. Vingine munaweka vistree vya 100m - 1km katikati mwa jiji kama Uhuru na Lumumba. Fanya hivi. Tupee list yawahitaji roads 20 ngoja niwaongezee
15. Lumumba road
16. Uhuru road
17. Morocco to Tegeta road
18. Shekilango to Bamaga road
19. Coco beach road
20. Road ya Fire to Serander bridge mnaitaje? UN road?
Ila munarudia rudia manjia maanake hiyo Coco Beach road na Toure Road ni the same road. Vingine munaweka vistree vya 100m - 1km katikati mwa jiji kama Uhuru na Lumumba. Fanya hivi. Tupee list ya
1. Dual carriageways over 20km
2. Dual carriageways over 10km
na ukumbuke kuweka urefu wa barabara.
sielewi itakuwa express au how do buses access the stations
Dual lanes
1.nyerere road
2.bibi titi road
3.ali mwinyi road
4.msimbazi street
5.kawawa road
6.toure drive
7.barack Obama drive
8.morogoro road
9.mandela road
10.sam nujoma road
11.chang'ombe road
12.kilwa road
13.mtongani changombe road
14.nyerere bridge road



Dar hakuna dual lanes.
Dar dual lanes hazifiki kumi.
Dar dual lanes hazifiki ishirini.
Mbona unaweka bila km zake.
Hawa ndio kondoo.![]()
Thika road high way ni km 21.Halafu mbona Huweki km? Heeheee, isijekuwa Thika Road pekee imezishinda hizo zote kwa urefu maanake Thika road ni over 60km na inaongezwa up to Nyeri phase 1 (153km) then up to Isiolo phases 2 and 3 (264km). Heehee
Mnakuwaga na mambo ya kitoto sn mkidakwa wasenge nyie.Unajua labda naongea na mtu asiye na masomo ya kutosha. Wacha nikupeleke polepole.
Je, unajua maana ya zoom?
Jibu hilo swali kwanza halafu tuendelee.
same to SGR.
they be like
![]()
Yet Nairobi is twice richer than Dar is slum😂😂Wakunya wajue Kibaha ni mkoa tofauti na Dar, Dar ni 3 Nairobis lakini bado it's metropolitan development infrastructure plan imegusa mpaka far next region, yaani ni sawa na miundombinu ya Nairobi ifike mpaka Nakuru 😂 haya ni maajabu kwa kunyaland