Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wa GDP kubwa EAC Wanakufa huku kama kuku wenye kideri👇

Screenshot_20220514-070016.png
 
😂😂😂 How it goes from "hakuna infrastructure ipo Nairobi na haipo Dar" i show you and it gets to hamna chakula na maji 😂😂😂😂 mko na umama sana, i gotta give it to you 😂😂😂
We jamaa huna hata haya kuandika upumbavu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kazi ya GDP kubwa si ndio mahala pake kuwasaidia hao? Sipendi mtu kufa kwa njaa za ukame ila wenye GDP kubwa ndio mnatakiwa ku act..

Kwamba fuel subsidies ni bora kuliko maisha ya hao watu? Kama GDP kubwa haiwasaidii ombeni msaada Tanzania tuwasaidie😆😆
ke gdp = tz+ug+rw+bu+ss gdps. thts wht u must knw pliz oo.!

it rings some resonance of
Russia vs NATO (us+br+ge+fr+ca+sp+it etc etc..)
 
Sawa lakini si unajua Wana repatriate faida? Mwenye mradi hataki pesa ibakie Tanzania bali irudi kwao France
Hata wewe ingekuwa ndio TOTAL ungefanyaje? Wenzetu wako very nationalistic ku boost vya kwao for their own welfare hiyo ndio norns ulimwenguni pote.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
GDP ya Tanzania inafanyiwa tathmnini upya,haiingii akilini mamiradi makubwa kiasi hiki eti tuko 70 bln,huu ni uongo wa mchana.

Hata hivyo Hamchukui round ndio maana mumeanza kutapatapa..

Mkiendelea na hizi tabia mshenzi tuta act accordingly

View attachment 2223760

View attachment 2223761

View attachment 2223762

View attachment 2223763
Hiyo ni redtape ya makusudi numbers zimewashitua toka usingizi wa propaganda walizolishwa sasa wamekutana na reality check ndio maana wame resort back to old dirty tricks. Imgekuwa ni football tungesema wanajiangusha angusha hovyo ili kupoteza muda.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom