Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AFDB kawaambia kuwa "Tanzania, Burundi, Rwanda na DRC muungane mjenge SGR ya kutoka Isaka hadi Keza, then hapo kila mtu ajenge ya kwenda kwake"..so Kagame katuma ujumbe wako tayar.. nawaza tu [emoji189]
Hiyo ndiyo route niliyokuwa naipigia debe humu ndani from keza it branches to Burundi and Rwanda halafu onward connection to Congo either via Burundi or Rwanda watajuana wenyewe huko na vilevile possible connection to Uganda hivyo kipande hicho kitapitisha mzigo mwingi sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Look, I really didn't need an entire essay on that... Kama uliona nilikuwa na respond kwa The best 007 ambaye alisema hakuna infrastructure ina exist Nairobi yenye haipo Dar, so mambo ya kulialia sio necessary, Kenya managed to pull tha off alongside giving a budget for education so spare me the cries and next time advise your fellow countrymen wacheze ligi yao sio Kenya.
 
"Uliniitisha= ulitaka/uliniomba/ ulihitaji

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni inspector general wa polisi anapigwa hivyo huko Sri Lanka,

Watu wa Sri Lanka wanarusha magari za wanasiasa mtoni.
Madeni ya mchina kutokana na kujenga miradi isiyoweza kuzalisha na kurudisha mikopo, Sri-Lanka na Kenya hazina tofauti katika kukopa na kujenga miradi ya hovyo, Kenya mjiandae.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja mjionee kituko cha hawa majirani.
Take home: Chinese government of Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…