The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Wewe ndio fala nani hajui BRI? Hata kabla ya hiyo BRI ya China,Tanzania tulishakuwa na mpango wa kujenga Bagamoyo Port kitambo tuu,huyo China kadandia kwa mbele na hiyo Initiative yake ya unyonyaji.Jua BRI ni nini kwanza halafu ujiulize location ya the US kama mradi wa Bagamoyo port ni strategic kwake! halafu wacha upumbavu wa kikenge! Yaani the US aje ajenge $10 bln port indian ocean badala ya Atlantic ocean! halafu stop what u r smoking! wacha upumbavu wa kikenge!
Kuna kampuni nyingi duniani zinaweza kutoa ushauri zikiwemo za Ufaransa lakini si the US! Google Belt and Road Initiative uone media za US zinavyoupinga huu mradi! Kisa tu hawataki China iwe connected around the globe wakihofia biashara itakayawezeshwa na miradi ya Silk Road!Tatizo sio wachina tatizo ni viongozi wetu jpm sio mjinga kuukata ule mkataba wa kwanza akati kikwete alikua ashatia kalamu
Yah tutakua na adavntage pia badala mizigo ya West Africa kuzinguka mpaka sauzi itakua inaweza kupitia Dar then insafrishwa mpaka kinshasa kwa reli alafu inapakiwa kwenye meli yani bandari ya Dar itakuwa bonge la dili ila sasa mpaka iyo sgr ifike kinshasa sio leo 😅😅Hii ni sawa, lakini kuna mchoro niliona ramani inakwenda kuunganisha reli na Atlantic ocean.Hapa wanataka wasafirishe mizigo yao kutokea Asia to America.
Swali langu miumdombinu ya Congo kama unavyoijua milima, mabonde, mito na hilo la misitu minene. Kwenye uwekezaji mtaji huo tunao nchi zetu hizi, na je italipa mapema kama itaweza kujengwa?
Ila kwa kuwa serikali zote 3 zimefanya majadiliano na kuamua kufanya hili jambo na japo bado sijajua ni hii ya Kalema au ya kuingia ndani mpaka kwenye ile Peninsula yao ambayo iko Atlantic ocean uenda feasibility study imekuja na matokeo chanya.
Tangazo kama hili tutarajie labda mwaka 2500 ndio litapostiwa pale kibera na mathareBy 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.
Uwezo wangu wa kielimu ni mdogo kushinda wako katika kuhoji miradi yenye maslahi ya Taifa. Kwa elimu yangu ndogo inanifikirisha kinachoendelea Srilanka.kwahiyo kwa akili yako fupi huoni upinzani wa Mmarekani dhidi ya BRI? Na mbona asijenge yake aje kushauri dhidi ya mradi wa Mchina? Yaani tumruhusu Mmrekani kuingilia miradi mikubwa ya Mchina katika Bagamoyo port kisa Royal Tour! Upeo wako mdogo sana! Sijui hata kiwango cha elimu yako!
Kwa hiyo Mmarekani tu ndo anaweza kukuepusha na kinachotokea Sri Lanka? Kuna consultancy ngapi zipo duniani zinaweza kukuepusha na mikataba ya Kimangungu?Uwezo wangu wa kielimu ni mdogo kushinda wako katika kuhoji miradi yenye maslahi ya Taifa. Kwa elimu yangu ndogo inanifikirisha kinachoendelea Srilanka.
Kuwa na elimu ndogo hainifanyi nisiwe na chaguo la kuandika au kuhoji na kushauri.
Wenye elimu kubwa kama wewe huwa hawatukani wala kujisifiwa bali huwasaidia wenye akili ndogo kuwaongoza.
Elimu yako kubwa uliyonayo inaonekana kwa jinsi ulivyo katika kuongea, uwezo wa kuvumilia, kustahimili mawazo ya mengine.
Kama elimu yako ni kubwa kunizidi usingejibu kwa kejeli na maneno ya shombo kama haya. Unaweza kujaza server za Jf kwa matukano na maneno kama haya lakini sitaweza kukutukana hata neno moja ndivyo elimu yangu niliyoipata inavyanielekeza kuishi kwenye jamii ya watu wenye mtazamo tofauti na wangu. BRI baki nayo mwenyewe sina haja nayo tena kwasababu hata nikiisoma sitaielewa kutokana na upeo wangu na elimu yangu ndogo niliyonayo.
Ni kweli na sitamjibu tena mkuu kwasababu ameshapanic ameanza kutukana na kujisifia na elimu kubwa wakati ilikuwa ni kitu kuhoji kwa hoja au kuelewesha anachokijua.Umempatia,huyo ni Pro China/Russia kwa hiyo hamtaelewana...
Hao Wachina zaidi ya kuwa matapeli Wana nini cha maana wanafanya hapa Tanzania?
Hawajawahi fadhili hata mradi wa reli toka walipojengaga reli ya Tazara Ili kuwafikisha Nchi za Kusini Mwa Africa kunyonya rasilimali..
Umeme wa US ndio unawaka Kigoma,Barabara za US ndio zimefungua Rukwa na Ruvuma achilia mbali miradi mingine mingi ya size ya Kati..
Mm najua mmarekani na mchina hazihivii mm nachojaribu kusema ni kuwa kama mradi una munafaa kwetu na hutatuingiza kwenye mtego wa madeni kama Zambia hamna tatizo mama atie saini bila kufungamana na upande wowote ule cha muhimu ni maslai ya mtanzania yanazingatiwaKuna kampuni nyingi duniani zinaweza kutoa ushauri zikiwemo za Ufaransa lakini si the US! Google Belt and Road Initiative uone media za US zinavyoupinga huu mradi! Kisa tu hawataki China iwa connected wakihofia biashara itakayawezeshwa na miradi ya Silk Road!
Kwa hivyo kwako unafikiri rail transport ina costs sawa na marine transport?Yah tutakua na adavntage pia badala mizigo ya West Africa kuzinguka mpaka sauzi itakua inaweza kupitia Dar then insafrishwa mpaka kinshasa kwa reli alafu inapakiwa kwenye meli yani bandari ya Dar itakuwa bonge la dili ila sasa mpaka iyo sgr ifike kinshasa sio leo 😅😅
Kabisa. Uchumi wa Ujerumani umejengwa na US,ebu angalia Eastern Europe ni nchi gani iko vizuri sana kiuchumi zaidi ya Germany? Zile zote ambazo zilikuwa na Soviet uchumi wao uliyumba na ndio maana hawataki kubaki na Russia wanataka kujiunga na nchi ambazo ziko na Mmarekani.Sio upinzani wewe tumbili Mzee bali ana offer mbadala wake kwa sababu za geopolitics something which is good..
Nchi zote zilizo ji associate na US ziliendelea kama South Korea,Japan,Ulaya nk kinyume na China ambae ni tapeli na anaingiza wenzie mkenge.
Itapendeza,Vitu vinaanzaga hivi mara paah Turkey is to finance Uganda-Tanzania electric SGR!
Ndio maana nikasema wauweke wazi ili utazamwe upya kama kuna vipengele cha unyonyaji viondolewe. Ingekuwa vizuri zaidi kama wangeupelek bungeni ujadiliwe.Tatizo sio wachina tatizo ni viongozi wetu jpm sio mjinga kuukata ule mkataba wa kwanza akati kikwete alikua ashatia kalamu
Mkuu ingawa mm na wewe tunatofautiana kimawazo kwenye ili swala ila siku zote nchi yoyote ikiwa na vingozi makini na wanaojali maslahi ya wananchi wao hakuna haja ya washahuri, wote hao mmarekani na mchina kila mmoja anavutia kwake cha muhimu ni viongozi wetu kuwa makiniUwezo wangu wa kielimu ni mdogo kushinda wako katika kuhoji miradi yenye maslahi ya Taifa. Kwa elimu yangu ndogo inanifikirisha kinachoendelea Srilanka.
Kuwa na elimu ndogo hainifanyi nisiwe na chaguo la kuandika au kuhoji na kushauri.
Wenye elimu kubwa kama wewe huwa hawatukani wala kujisifiwa bali huwasaidia wenye akili ndogo kuwaongoza.
Elimu yako kubwa uliyonayo inaonekana kwa jinsi ulivyo katika kuongea, uwezo wa kuvumilia, kustahimili mawazo ya mengine.
Kama elimu yako ni kubwa kunizidi usingejibu kwa kejeli na maneno ya shombo kama haya. Unaweza kujaza server za Jf kwa matukano na maneno kama haya lakini sitaweza kukutukana hata neno moja ndivyo elimu yangu niliyoipata inavyanielekeza kuishi kwenye jamii ya watu wenye mtazamo tofauti na wangu. BRI baki nayo mwenyewe sina haja nayo tena kwasababu hata nikiisoma sitaielewa kutokana na upeo wangu na elimu yangu ndogo niliyonayo.