Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari ni nyingi sana mjini...maaan last year tulienda Moshi msururu wa kufa mtu nilikua nacheka sana mwenyewe...izo forester XT ndio zimekua zinachukuliwa sana sahv...siunajua ile machine inapumua vizuri highway?imagine umepark sehemu ya kula XT Kama 7 wote vijana tu wa 30's zao...middle class inakua kwa kasi sana na sahv watu wanajua ku flex ,BMW na audi pia zinachukuliwa sana sahv watu hawataki ujinga kabisa
Hata ukiangalia usijajili wa magari unaenda kasi sana muda si mrefu tunaenda EAA kwasababu sasa hivi tuko DY something.
 
Lakin hadi leo Japan ni developed while China is developing..gdp per capita ya Japan ni kubwa zaidi×4 ya China...Japan imeshaendelea considering wako 125M kua na gdp la karibu 5trillions sio jambo la mchezo...hao jamaa ni matajiri balaa...Tokyo pekee yake ni tajiri kushinda any city ya wachina ,Usifanye mchezo na Japan
China anamzidi Mjapan kwenye nguvu za kijeshi. Kama siyo ile vita kuu ya dunia kwasababu alinyimwa kuunda jeshi kubwa angekuwa mbali sana.Sasa ona madhara yake North Korea anamtisha Mjapan na jirani yake South Korea kwamba yeye ana jeshi kubwa na lenye nguvu.

Juzi North amefyatua kombora limeangukia Japan japo halikuleta madhara. Wakasema hilo ni onyo kwa Rais mpya wa South Korea. Wanafanya hivi kwa kuwa wanajua ni washirika wa Marekani na hawan nguvu za kinyuklia.
 
Yule rais wa N.korea ni mtu wa hovyo sana...simuelewi anamtanulia nani kifua na hayo makombora yake nchi yenyewe ishajifia...nchi za kijinga kama zile tabu sana
 
Screenshot_20220510-220506.png

Yule rais wa N.korea ni mtu wa hovyo sana...simuelewi anamtanulia nani kifua na hayo makombora yake nchi yenyewe ishajifia...nchi za kijinga kama zile tabu sana
Kwa kweli ataleta maafa mengine ni kama anataka kuanzisha vita kuvuruga dunia.
 
Jamaa mwenye jina ya kichina ama jamaa wa kuforce issues ... The expressway is far from being entirely complete, once the road is launched, the lower A2 road or uhuru highway/waiyaki way/Mombasa road will be re done since it was largely destroyed during construction of the expressway. There will be re carpeting, drainage done,road markings,street lights, pavements/walkways etc... The road was top notch before interference and it's glory must reign. You don't have to believe me since you wish for the latter but unfortunately Kenyans actualize on their plans.
 
Back
Top Bottom