Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yap yap....kuna wakati nilisafiri eneo la molo town katika county ya nakuru....then after a stay of three days at molo, i travelled to kiptagich in baringo county for more exploration of kenya.
i can't forget those days...I was like an explorer vasco de gama.

a clever way of saying you enjoyed
 
The beast is getting serious
Nairobi
DIfKKWyUEAAtu6k.jpg
 
yap yap....kuna wakati nilisafiri eneo la molo town katika county ya nakuru....then after a stay of three days at molo, i travelled to kiptagich in baringo county for more exploration of kenya.
i can't forget those days...I was like an explorer vasco de gama.
Hawa wakenya wengi wao hawajawahi kufika hata Tz, bahati nzuri Mimi nimekuwa nikitembelea Kenya hata kabla ya mwaka 2000.

Maendeleo ya Bongo ya speed Kali kuliko yao, Dar Es Salaam inapaa kwa kasi kubwa sana. Tafuteni picha ya Nairobi 1995, picha ya 2005 na 2015 na mfanye hivo hivo kwa Dar ndio mtaona Tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya Ports Authority gets modern electric cranes
By Philip Mwakio
Published: Aug 31st 2017 at 22:45, Updated: Aug 31st 2017 at 22:45
7gcGEr5h.jpg

Cranes being offloaded at the port of Mombasa.

Cargo handling at the Mombasa Port got a major boost earlier this week with the arrival of two ultra-modern diesel-electric cranes.
Eco-hoppers, which will be received in December to complement the cranes, will provide dust and spillage-free unloading through a control system that minimises escape of dust during discharge and reduces running expenses on average by 30 per cent.

The two harbour cranes are part of the Kenya Ports Authority’s Mombasa port improvement programme aimed at reducing carbon emissions and helping the port, its users, and other stakeholders to adapt to the effects of climate change.
Simultaneously
The cranes will enable the port to handle two vessels at a time, which will, in turn, reduce ship waiting times and greenhouse gas emissions from their diesel powered engines.
The cranes, funded by Trade Mark East Africa (TMEA) through the UK Government’s International Climate Fund facility, were procured at a cost of Sh868.27 million. They are the first of their kind to be deployed in East and Southern Africa.
Unlike the mobile harbor cranes currently used at the port which handle one vessel at a time, the new cranes will handle two vessels simultaneously. TMEA has been working closely with KPA to implement short-term and high-impact projects, including the improvement of Gate 18/20 which enhanced port access.

Kenya Ports Authority gets modern electric cranes
 
Hawa wakenya wengi wao hawajawahi kufika hata Tz, bahati nzuri Mimi nimekuwa nikitembelea Kenya hata kabla ya mwaka 2000.

Maendeleo ya Bongo ya speed Kali kuliko yao, Dar Es Salaam inapaa kwa kasi kubwa sana. Tafuteni picha ya Nairobi 1995, picha ya 2005 na 2015 na mfanye hivo hivo kwa Dar ndio mtaona Tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. .....wewe ni bhangi we huvuta.........Tanzania is not an LDC by mistake. I have travelled to Northern Tanzania and let me not comment.

usibishe bishe ovyo kama mtoto......ukimchukua zMtanzania aliyejichokea na ukimchukua mkenya aliyejichokea tofauti kubwa sana utaiona....yaani uchokaji wa mkenya ume mdouble triple mtanzania aliyechoka maskini wa kenya nimmechakaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ya uchaguz kenya yamefutwa na yatarudiwa november kweli Mungu husikia vilio vya wanyonge😀😀😀😀😀😀
Wapi mzee wa iphone 7 bandia
Screenshot_20170901-120056.jpg
 
uchaguzi kenya bado ngoma nzito....wanarudi tena kwenye box baada ya siku 60.
 
nimeipenda siasa yao........hivyo vitu yapaswa hata tz tuweze kuvifanya punde inapotokea stofaham

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi naipongeza mahakama ya juu ya kenya kwa kufanya shughuli zake za kimahakama kwa uhuru na uwazi bila kuingiliwa na taasisi yoyote au kikundi fulani cha watu.

kwa hili tuna la kujifunza toka kwa majirani.
 
Back
Top Bottom