Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Huezipingana na WHO, World Bank and AFDB. All those organizations are saying the same thing except you and your fellow witches.Watu wanakushangaa kijana
Huezipingana na WHO, World Bank and AFDB. All those organizations are saying the same thing except you and your fellow witches.Watu wanakushangaa kijana
Nilikupea torch, ushatafuta battery?Kwahiyo Mr. Kipara kwa mujibu wako Swaziland yenye GDP ya $3b iko mbele yenu kwa infrastructures, kweli ww ni Bwana Mapesa![]()
Haya magari watarekodi kwenye RoRo shipments. Na Kwa namna hiyo Kwa ukanda huu labda tunaweza kujilinganisha na SA, Rabat na Cairo tu Kwa upande wa kupokea RoRo units. Hakuna nchi ya kutufikia Kwa ukanda wetu huu Kwa Sasa. Ndio maana TPA inafikiria kuanzisha RoRo berth Tanga port pia.Hiv bro na hizi magari tuna record kule kwenye tonnes, annual report.?
Wakuu tupeane channel bhana..
Wengine tupo Kwa huu uzi na tumeparara sana kama hawa wakunya.. Tofauti tu ni kwamba angalau Bongo raha Sio kama jangwani huko Kwa hao mifugo ya jayden

umenifanya nicheke sana man...Gari ni nyingi sana mjini...maaan last year tulienda Moshi msururu wa kufa mtu nilikua nacheka sana mwenyewe...izo forester XT ndio zimekua zinachukuliwa sana sahv...siunajua ile machine inapumua vizuri highway?imagine umepark sehemu ya kula XT Kama 7 wote vijana tu wa 30's zao...middle class inakua kwa kasi sana na sahv watu wanajua ku flex ,BMW na audi pia zinachukuliwa sana sahv watu hawataki ujinga kabisaWakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi![]()
Halafu hii Park haipati sana promo
Big reason to worryMo Dewji, Bakhresa, and Rostam Aziz, the most richest people in East and Central Africa, don't have their own private Helicopters, William Rutto has more than 3 helicopters
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Daah hii siku ionaSi ulisema "the reason why am posting my private life here it's because you requested for it next time if you want me to show even my nails I won't show you" mbn ukatuonesha buti lenye mashavu na soksi zilizochokaView attachment 2219421View attachment 2219423




izo dressing code namna gani au jamaa Ana volunteerMkuu unaamini Burundi kuna Hosp kama kcmc?surely?Sawaa ndio nataka utaje sasa hizo huduma zenye ni special in the entire country of burundi which ar more quality than them provided by Kilimanjaro's KCMC..


Gari ni nyingi sana mjini...maaan last year tulienda Moshi msururu wa kufa mtu nilikua nacheka sana mwenyewe...izo forester XT ndio zimekua zinachukuliwa sana sahv...siunajua ile machine inapumua vizuri highway?imagine umepark sehemu ya kula XT Kama 7 wote vijana tu wa 30's zao...middle class inakua kwa kasi sana na sahv watu wanajua ku flex ,BMW na audi pia zinachukuliwa sana sahv watu hawataki ujinga kabisa
🤣🤣🤣🤣jayden hanaga habari nao🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu tupeane channel bhana..
Wengine tupo Kwa huu uzi na tumeparara sana kama hawa wakunya.. Tofauti tu ni kwamba angalau Bongo raha Sio kama jangwani huko Kwa hao mifugo ya jayden
Helicopter inayotumika Kenya sana ni Eurocopter. Ukiangalia listings za used Eurocopter zinachezea 3M USD. You can imagine what a new one costs.Helicopter moja ni sh ngap?
Usikute ni bei ya range rover hizi za $ 100k ntakushangaa sana
Apo sawaHelicopter inayotumika Kenya sana ni Eurocopter. Ukiangalia listings za used Eurocopter zinachezea 3M USD. You can imagine what a new one costs.
Lolote linawezekana huwezi amini kama kuna nyakati Japan alikuwa juu ya China na alishawahi mnyanyasa sana mchina kijeshi lakini leo kaachwa mbali.Hii itatokea soon Tz itaibwaga Kenya
Frankly speaking move ya Dodoma imeathiri uchumi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa yote ni kwa sababu ilifanyika kwa ghafla na bila kujali repucations take kiuchumi.the impacts yake Dodoma imelala na Dar es Salaam imelala kwenye services delivery.Kama isingekuwa ile move ya Dodoma Dar ingekuwa inatisha sana kwa sasa.
😆aah wapi.!?? mtazidi tu kutuonea pembeni.. kwa karne nyingi zijazoLolote linawezekana huwezi amini kama kuna nyakati Japan alikuwa juu ya China na alishawahi mnyanyasa sana mchina kijeshi lakini leo kaachwa mbali.Hii itatokea soon Tz itaibwaga Kenya
Those who allow only one family to dominate their politics and economy, and allow their ego to embrace yribalism as the reason for killing each other are above stupidity of this century.Talking of stupidity. The most known stupid person in the world was Kinjeketile Ngwale and his bandwagons then followed by Magufuli. Don't ask me why because the reasons are known worldwide.