Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Japanese ni watu smart sana...sisi tutaendelea kuagiza magari kwao kwa miaka mingi sana mbele....yani wanajua wanachokifanya!! Africa jamani bado sana...
BTW naona watu sasa wameamua kuagiza magari hawataki ujinga ....watu tunakunywa weekend moja laki 2 tushindwe kujaza fozzy mafuta?
Wakuu tupeane channel bhana..

Wengine tupo Kwa huu uzi na tumeparara sana kama hawa wakunya.. Tofauti tu ni kwamba angalau Bongo raha Sio kama jangwani huko Kwa hao mifugo ya jayden
 
Harambee is an indian word (from Hindu language) introduced by the indian worker while building Mombasa-Kampala railway!

Harambee-478x576.jpg
Tena "harambee" haiku originate from Tanzania? 🤔
 
Sawaa we can see it 😂😂 kwa ground.. instead of using these keyboard worrier's fake data, unaweza onesha hizo miundombinu zenye burudi is said to be ahead of us..?
Wewe unafikiri miundombinu is all about building a brt that snakes its way through uswazi hovels?
 
if their's a country, that i realy pity so much, it would be burundi..... burundi is sooo silent.. you'll not hear anything much about it, you never see or hear any head-of-state visit tht country, you'll rarely see or hear bout their president. i've never known wht burundi produce or manufacture. think bujumbura is among the least publicised cities in the continent.
but i think tanzania should be the one incharge of supporting this country. actualy in all circles; economically, political, socialy, but instead you ll find these Tzs make a laugh at it again.!🤔
Acha kuongea sana we mpuuzi kama hujui chochote u better be silent, burundi ni wadogo zetu and everybody in the world knows that, except you fool, tunawasaidia Burundi in every single aspect of life,na ndio maana suggestions za SGR tuliwapea and we gon definitely connect them ready to transport them cargos from Dar Port.. tunasafirisha mizigo yao kwa mabasi, n.k .. kwakifupi Burundi ni kama tumewaweka under better control
 
Japanese ni watu smart sana...sisi tutaendelea kuagiza magari kwao kwa miaka mingi sana mbele....yani wanajua wanachokifanya!! Africa jamani bado sana...
BTW naona watu sasa wameamua kuagiza magari hawataki ujinga ....watu tunakunywa weekend moja laki 2 tushindwe kujaza fozzy mafuta?

Siku zote nawaambia watu, usiseme watu hawana pesa...sema sina pesa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Continue dreaming.
We fanya ufanyalo, tafuta hata article buku, ila huo ndio ukweli and u will never change it.. Kiswahili is ours and kwasasa karibu watanzania wote tuishio mjini Kiswahili is our first language (mother tongue)
 
Acha kuongea sana we mpuuzi kama hujui chochote u better be silent, burundi ni wadogo zetu and everybody in the world knows that, except you fool, tunawasaidia Burundi in every single aspect of life,na ndio maana suggestions za SGR tuliwapea and we gon definitely connect them ready to transport them cargos from Dar Port.. tunasafirisha mizigo yao kwa mabasi, n.k .. kwakifupi Burundi ni kama tumewaweka under better control
Hata ulinzi tunawapatia bila shaka yoyoye lasivyo wangeshapigwa na kupinduliwa serikali yao na kuweka vibaraka wao.
 
Wakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiv bro na hizi magari tuna record kule kwenye tonnes, annual report.?
 
Wakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 Eti Chinese low quality owned express way .. ndugu zetu wanaonewa sana na mchina
 
Back
Top Bottom