Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaah akili za kikunya 🤣🤣🤣🤣🤣Sawa basi mmefanana🤣🤣🤣🤣🤣


infact technicaly speaking on the ground. kenya is more synonymous to south africa in so many ways than tanzania, you pple will not understand this...

South African staff at random👇🏽








SOME SYNONYMS AT A GLANCE







Kenyan staff at random👇🏽
 
Yaani hawa watu wana mtindio wa akili. Na utakuta walishaandaa proposal ya kubadilisha makazi duni wakapeleka kwa wahisani, utakuta pesa zilitoka wakazipiga zote mradi ukafa but no one cares.

Shirika la Habitant si liko hapo Nairobi ndio makao makuu yao? Limewasaidia nini, utawasikia, ohhh, Nairobi is ahead of dar when it comes to international organisation centres.Sasa zinawafaidisha nini??
 
"Watu wanalipwa mishahara midogo sn Tz" wakati anaongea hvyo yuko hapa na infinix yake ya 2gb Ram[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2213131
Unaweza ukalipwa mshahara mkubwa lakini matumizi yakiwa mengi na juu unajikuta unasave kidogo kuliko yule anayelipwa kidogo huku matumizi yake hasa zile basic needs zikiwa gharama zake zipo chini sana.

Hawa huwa hawajui kwamba Tanzania maisha ni marahisi sana kuliko kwao.
 
Ni kweli usemacho kipindi cha awamu ya nne walikuja walimu wengi sana kutoka Kenya kufundisha kiingereza kumbe siyo kiingereza tu wakawa wanafundisha hata kiswahili.

Sasa wazazi wakashtuka watoto wanaongea viswahili na siyo kiswahili mara vitushi, wanaulizwa ndio nini hiki wakasema mwalimu wetu katufundisha , kufuatilia ni hawa jamaa wa kaskazini hata uwezo hawana kwa masomo yote, siyo kiingereza, hesabu wala kiswahili, vibali hawana duh.

Kaingia mwamba madarakani wakaanza kusepa wenyewe na ndipo hasira na chuki ilipoanzia hapo dhidi ya Magufuli . Kenyans we know you much better than you are imagined.
 
Unafuatilia taarifa ya habari ya tbc unategemea upate habari kinzani kweli?Angalau ungesema ITV au AZAM wako vizuri kwenye habari hawana upande wowote.
 
Mna ujinga wa kiwango cha juu sana anyways endeleeni kujifariji mnajua Tanzania kwny anga la juu tunaongoza ndege za nchi ngapi?!.
 
Ila hapa ulitupiga[emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hufuatilii mambo ya Tz alafu unamjua mpk baba levo, hufuatilii mambo ya Tz alafu upo kwenye forum ya Watz inayoongelea mambo ya Tz 99% tukisema wakunya hamna akili mnasema tunawatusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
msiogope.. fungueni roho zenu tafadhali na mseme tu ukweli. sema kupenda kenya ile mbaya, ndo kila wakati, upto 95% ya watz watafuatilia kwa kina kinacho endelea huku🔥. si u knw kenya is another smaller SA. nivenye tu mko na haya.. otherwise......... msiogope. hakuna mwenye anawaona..
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuuh!
 
Tony254, nchi zote za Africa na nchi za Dunia ya tatu zinasumbuliwa na matatizo yafuatayo
1)High unemployment rate
2)Upungufu wa wataalamu wa sekta mbalimbali( Lack of skilled labour)
3)Brain drain

Hivi unaweza kuelezea vipi hayo matatizo yanaweza kutokea kwa wakati mmoja?,

I)Inawezekanaje katika nchi/bara ambalo Kuna tatizo kubwa la Ukosefu wa ajira(high unemployment rate), lakini ndio nchi/bara hilohilo ndio kwenye upungufu mkubwa wa (skilled labour), na ndio bara linaongoza kwa tatizo la (Brain drain).

Sio kweli kwamba Kenya/Afrika Kuna wasomi wengi zaidi hivyo ajira ni chache, ukweli ni kinyume chake, kwamba Kenya/Africa Kuna tatizo la kutengeneza ajira za kuweza kuajiri hao wasomi wachache.

Japan Kuna vyuo vikuu vingi kuliko vyuo vikuu vilivyopo Africa nzima, 80% ya wajapan wamefika Universities, hapo Kenya wasomi waliofika Universities hawafiki 3% ya wakenya wote, lakini Kati yao hao 3% wanaopata ajira hawazidi 20%, wakati Japan yenye universities nyingi kuliko idadi ya universities zote za Afrika nzima, na 80% ya Wajapan wamefika Universities Kati yao 90% wanapata ajira.

Sijawahi kusikia Wajapan wakilalamika kwamba Wana wasomi wengi kuliko ajira, lakini Kenya ambayo Universities hazizidi 100, wasomi hawazidi 3% ya wakenya wote, eti mnasema wasomi ni tatizo kwahiyo ni Bora watafute kazi nje ya nchi. Hivi mtu Kama wewe ukiwa kiongozi utaweza kweli kulisaidia bara la Afrika?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Didn't you say that "she knows better"? Now you don't trust the same person you said knows better! Interesting
Fuatilia mazungumzo vizuri kabla ya kurukia kuandika. Mkenya mwenzako alikua akipingana na watanzania waliopigana na kauli ya mama Samia kwamba miradi yote mikubwa Tanzania imejenga kwa mikopo.

Yeye mkenya amesema, rais wa nchi ndiye anajua kila kitu kuliko watu wote huku Tanzania, Mimi nikaleta hiyo kauli ya mama Samia aliposema Tanzania imeshushwa na baada ya mwezi mmoja akabadili kauli yake

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…