Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo 2020 uchumi ulikuwa in negative way then immediately 2021 ukakuwa kwa 7.5% hivi nyie shule mlienda kufanya nn kama mnashindwa ku calculate even small arithmetics kama hizi, jiulize iweje uchumi ukuwe ilihali majolity wanafukuzwa kazi mpk leo.
"...majority wanafukuzwa kazi mpk leo...".., kweli uko na matatizo ya ki fikra wewe😂😂
 
Dar nzima ni misitu tupu imejaa, misitu iliyopo Dar ni mingi kuliko Kenya nzima.
Screenshot_20220505-140950.jpg
Screenshot_20220505-141054.jpg
Screenshot_20220505-141139.jpg
Screenshot_20220505-141115.jpg
 
Wakunya bhn yani akijua broken kdg tayari naye anajiona msomi kwa mfano huyu fundi muashi msaidizi tayari naye anajiita engineer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
'fundi muasi msaidizi..' aa wapi.!?
hivi nikuoneshe vieti vya chuo kikuu... na barua ya kuajiriwa serkalini miaka 7 iliyopita.... kuficha personal details sijui mm.
..And thts my greatest weakness other than anybody here....
 
Unaweka picha ya JKIA kwa umbali.,lakini bado ukikagua it is way developed and a mini city ukilinganisha na banda la kuku wa mayai..,
yaani hii yoote ndio JNIA?, man get a life, jipe shughli hauna la ziada [emoji1787] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2212430
Hivi wewe unaakili kweli au ni kichaa?

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
fundi muasi msaidizi.. aa wapi.!? hivi nikuoneshe vieti vya chuo kikuu... na barua ya kuajiriwa serkalini....
Huyo ni fukara all round, mbuzi hapigiwi guitar bro, reasoning yake balaa 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom