Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba unitajie kisa hata kimoja kwamba dada Fulani alimtuma hazi yake au boyfriend Kwa sir jah kisa wealth au properties πŸ˜€
Sifuatilii mambo ya Tanzania kama unavyofuatilia ya Kenya ila najua binadamu ni wale wale na hivi visa utavipata kila mahali. Shida ya Wabongo ni denial. Siku Kibaki akifa nilitafuta video pale YouTube nikaangukia moja ya TBC news, yani media yenu ilivyo ni kama Kenya ilivyokua wakati wa Nyayo. Yani 70% news ni kusifia Rais na serikali na kurudiarudia ufunguzi na ujenzi wa miradi. Yani hamna journalists wanaojituma kuangalia matatizo yanayowakumba wananchi wa kawaida. Yani kama North Korea vile.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba Ukosefu wa (Maintainance and Repair) ya miaka yote huko nyuma ghafla tu madhara yake yalikua yanangojea uingozi mpya ndio uanze kujitokeza?.

Mkuu Kama kweli upo "fair"katika kuangalia hili tatizo, tuanzia kipindi cha Kikwete, hali ya umeme ilikua mbaya Sana, mgao, kukatika kwa umeme hovyo hadi waziri mkuu Edward Lowasa likamsababishia kujiuzulu.

Alipoingia Magufuli alifanya mageuzi makubwa Sana katika sector ya umeme, kumbuka alikua ni vijiji 2000 tu vimeunganishwa umeme Kati ya vijiji 12000 Tanzania nzima, hadi anakufa alibakisha vijiji 2500 tu kuunganishwa umeme.

Sihitaji kutaja Mambo Kama kuondolewa kwa "service charges", kuondolewa kwa gharama za kununua nguzo au transformar kwa wanaotaka kuunganishiwa umeme, vijijini kuunganishiwa kwa Tsh 27000,
Mgao kutokuwepo tena na mengi Sana siwezi kuyamaliza kuyataja.

Huwezi kueleweka Kama mafanikio yote haya yanapoanza kutoweka na kurudi enzi za Kikwete, sio rahisi watanzania kuelewa. Kwahiyo athari za kutofanya Maintainance zilikuwepo enzi za Kikwete, alipoingia Magufuli yeye hakufanya Maintainance yoyote kwa miaka mitano, tulitegemea umeme ungeendelea kukatika Kama ilivyokua katika utawala wa Kikwete, lakini hatukuona kukatika kwa umeme katika kipindi chake, ghafla tu baada ya kuondoka, athari za uchakavu zinaanza tena kujitokeza, hivi kweli watu wazima tunadanganyana kirahisi kiasi hiki?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu hata Ku Google basi usiwe mvivu πŸ˜€
Yaani bongo story za hivo 0.01%na si bongo Tu nimebahatika hata kufika nchi nyingi afrika sema west Africa kidogo mnaendana Kwa Tabia hususan wayoruba πŸ˜€
 
Jaribu hata Ku Google basi usiwe mvivu πŸ˜€
Yaani bongo story za hivo 0.01%na si bongo Tu nimebahatika hata kufika nchi nyingi afrika sema west Africa kidogo mnaendana Kwa Tabia hususan wayoruba πŸ˜€
Your media is useless and you don't have much english sources online. Story mmejaza online ni kiki za wanamuziki wenu. Furthermore, I have no time for that..............you can keep hiding your head in the sand.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaonyesha kila kitu mpaka future yake[emoji1787].
ila nimekushika mzeeee.......... πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½



Tsh494,000Γ·ksh20β‰ˆKsh 25,000/- only.!!!

Now this one story has made my day. TodayπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ako wapi The best007, tucheke pamoja naye
 
Your media is useless and you don't have much english sources online. Story mmejaza online ni kiki za wanamuziki wenu. Furthermore, I have no time for that..............you can keep hiding your head in the sand.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ayaaa bwana nyie mnaojua queen's English Acha Sisi tunaoficha news na Ku select what should be published and what should be excluded, luckily you are all informed πŸ˜€
 
Mkuu praise team hawawezi kukuelewa kabisa.Wao ni kuunga hoja ziwe nzuri au mbaya as long as zimetamkwa na serikali, jambo la kushangaza akikanusha hawaji kusema na hawajistukii.

Nilihoji huko nyuma imekuwaje tumerudi nyuma kiuchumi kwa kauli ya kiongozi wetu nikajibiwa kiutalaam na maelezo mengi tu.

Jana yeye mwenyewe katamka eti imeandikwa wapi hiyo kwamba tulirudishwa nyuma kiuchumi? Kamba bado tupo pale pale. Mtu mmoja ana kauli 2 kwa wakati mmoja, maajabu haya??

Ukweli ni upi tupo Lower Middle Income au tupo chini ya hapa?
 
Show us yours then I'll proudly produce mine without hesitation.
Hata ukiwaonyesha certificate yako, blank out your name. Cover your name. Hawa watu wanadhani Wakenya hawajasoma. Hawajui kwamba the biggest problem in Kenya right now is graduates lacking employment. Basically we have more educated people than even the local job market can handle. Ndio maana unaona Wakenya wengi waliosoma wanaenda majuu kutafuta greener pastures.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] buti lenye mashavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…