Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screen Shot 2022-05-04 at 15.53.27.png
 
pole sana.. sikutaka nikujibu.. lkn kiufup nipo tanesco kwenye hio mitambo... have a good day!
Hata ma ps, madereva nk wako Tanesco..

Jibu swali,hizo sababu ni za Tanesco na waliongea live kwenye vyombo vya habari..

Tupe wewe sababu sasa uliyeko Tanesco vinginevyo nyie ndio Sukuma gang mnatakiwa kufyekwa huenda mnahujumu Nchi..

La sivyo utakuwa ulipitiwa na lile panga sasa una hasira na chuki za kijinga.
 
Maskini ni wewe fala,ulishawahi ona wapi aliye upande wa beberu akawa maskini?

Wewe ulie upande wa wajamaa wajinga ndio maskini..

Nyerere alijifanyaga kuwa busy eti kusaidia wajamaa wenzie kujikomboa kwa rasilimali za Nchi na uhai wa watu wake,haya tunepata nini cha maana?

The so called ujamaa ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Washukuru sana wazee wakoo wewe kama wangekuwa waoga kama wewe ungekuwa unaosha vyombo saivi sio kuteleza mindaoni
 
Back
Top Bottom