Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Life expectancy ya Kevya ni miaka mingapi?
 
Unaweza kuona elevated section ya express way ya mchina ilipoanzia na kuishia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2210079
Unasumbuka sana bongolala, heri unyamaze tu. Elevated section inaanzia Southern bypass all the way to James Gichuru road. James Gichuru ipo mbali sana na GTC mahali michoro zako zimeanzia. This is elevated section ikipita GTC towards James Gichuru. Tuliza kende kijana wa gongo la mboto
 
Siku utafika JKIA ndio utajua TZ Hakuna airport. Kwanza sahii na hio express way link utathani uko New York.
Nairobi iko ligi ingine.
JKIA ni airport mbovu sana imagine ukiwa ndani kichwa inaweza gusa roof halafu kuna viduka kama vibanda vya wamachinga haviko visible at all viko katikati ya nguzo za jengo plan ya kishamba sana.
 
8km ndiyo mbali sn [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fala nani sasa anayeshindwa kutofaitisha majina kwa kiswahili ama? Huoni nimekusaidia hapo unapaswa unishukuru kukusaidia ulipofeli wewe.
kwa hivo blue ni neno la Kiswahili? Enyewe fala ni fala tu. Carry on. 🚮 🚮 🚮
 
Mifukara ya mwisho. Lakini Ile kelele wanapiga humu ndani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…