Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani maendeleo yote unayoona wanajisifia na vipicha vyote wanavyorudia rudia kuviweka humu bila kusahau kuvipiga lipstick vinatokea hapa kwenye haka kasehemu kadogo, ka Nairobi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapi aerial za TV?🤣 🤣 🤣 🤣 Oooohhh nilikua nimesahau hamna stima.🤣🤣🤣
By the way these streets are flooded sijui kama unaeza ona? Sijui kama wanatumia boat wanapoenda kununua mkate dukani?
 
Yani Uganda gdp bado sana lol...anyway waingie LMIC's hili block letu la EAC lin'gare zaidi
 
[emoji1787]Hapa ndio Brazil Ilibafilika na kuwa BRAZI7.
Badala ya BRAZIL hiyo L ikapinduka ikawa hivi BRAZI7[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?[emoji23][emoji23]
Kwani Nairobi ni kimasai? Au unataka kusemaje?
 
Do you even understand yourself? Umesema vizuri Dar is slum derived its name and meaning from Arabic, tena unasema kwamba Dar is slum is more Swahili than Arabic. So which is which?[emoji23][emoji23]
I am not suprised kwa upeo wako mdogo wa kufikiri only bright brains will understand what I said.
 
Yani vimaendeleo vyote unavyoona wanapiga kelele humu vipo kwenye haka kaeneo kadogo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshangaa kwamba per capita ya Kenya imeshaifikia ya India. Kenya ina per capita ya $2,200 na India ina per capita ya $2,300. Wao walipata uhuru 1947 na Kenya ilipata uhuru 1963. Kuna kipindi cha zaidi ya miaka kumi in the 1990s ambapo uchumi wa Kenya ulikuwa umedhoofika sana na kupata negative growth. Sasa ni muda tu kabla hatujawapita hawa watu kwenye per capita income. Wanacheza sana. Wana majirani matajiri kutushinda sasa mbona wasitrade na wao? Japan yupo hapo karibu, Singapore yupo hapo mlangoni mwao, South Korea yupo kilomita chache karibu na kwao, China ni jirani kabisa sasa wanakwama wapi? Angalau nchi za Kiafrika jirani zetu ni nchi za kiafrika ambazo zote ni masikini tunaweza kujitetea kidogo.
 
Vipi maendeleo, unahisi mnawakaribia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…