Point yangu ni kwamba ni kwanin hayo mabus hamtumii hko kwenu mnaishia kuuzia watu tu.. nin kinachoshindikana? Sijasema hayapo kabisa!Ni kwamba unapinga kwamba hilo basi lilikuwa assembled in Kenya au nini? AVA is one of the biggest assembers in Kenya na ipo Mombasa. Unaweza kuona neno AVA limeandikwa kwenye hilo basi.
Tulia soja, wacha hasira, it was on a light note.🤣 🤣 🤣 🤣Typing error, ok route vp umeridhika? Najua nyinyi Wakenya ni mbwa wa wazungu mnawaabudu sn.
1% ya kila ktu mlichokua nachoWhat we use are better than what we sell to you. And mind you, this was assembled in Kenya [emoji23]
View attachment 2208541
View attachment 2208542
View attachment 2208543
View attachment 2208544
View attachment 2208545
View attachment 2208546
Mbona poor interior? imewekwa seats za matatu!!Nimesema tuna tengeneza limousine.
What is the correlation between wakenya, wazungu and you making a typing error?Typing error, ok route vp umeridhika? Najua nyinyi Wakenya ni mbwa wa wazungu mnawaabudu sn.
Ena & Buscar as usual [emoji2]What we use are better than what we sell to Tanzania. This was assembled by AVA, you can see the logo on the windscreen.
View attachment 2208548
View attachment 2208549
Mimi nmefurahi tumewashinda Ghana...sasa tunakimeo cha Ethiopia apo Juu...$105B-$77B kipande kipo....tutawakata taratibu hadi kieleweke...By the way next year itakuwa tamu. Kenya itakuwa $120 billion na Tanzania itakuwa around $81 billion. Total gdp ya Kenya na Tanzania by next year itakuwa zaidi ya $200 billion. Yaani sisi mandugu tunachukiana sana lakini sisi ni masuperpower wadogo hapa Africa. Uchumi hizi mbili zikishikana ni zaidi ya $200 billion.
Cc Simon.
Hiyo inachukua miraa hapo kupeleka SomaliaUnapiga kelele zote kumbe ni ndege ya cargo [emoji23][emoji23][emoji23]
Una ushahidi gani kwamba hapo ni eldoret? Hakuna evidence yoyote kwenye hiyo picha inayohusiana na Eldoret AirportUliza mwenzako coodip1 amabye alisema airport za Kenya haziwezi kuland kubwa nje ya Nairobi, Kisumu na Mombasa.
Uko kwenye tourism kukienda tunavyopanga + thamani ya Gold inaendelea kupaa...hawawez tukuta tena.Apo ghana atuache tunajambo letu
Arusha wapi ATC inaenda huko piaAs of November, 2021
View attachment 2208632
Sio mchezoBy the way nimepiga hesabu ya haraka kwa calculator ya simu yangu na nimepata kwamba Gdp ya hizi nchi kumi ni $2.19 trillion
View attachment 2208784
Cc Simon
Yani Nigeria gdp yao iko level za Thailand ila Thailand [emoji1242] wako na maendeleo makubwa kuwazidi...uchumi wa Nigeria [emoji1184] umeegemea tu kwenye mafuta sector zingine zinatoa mchango kiduchu kwenye gdp yao....siku Tz tukiwa na gdp kama iyo basi ujue kila mtanzania anaishi level za Austria [emoji1038]Nigeria wameshatinga $500 billion Jesus Christ. Halafu hapa JF huwa mnaichukia Nigeria sijui ni kwa nini. Wale watu wako aggresive sana mimi sina tatizo nao.
Hapo bado rebase [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ase tuusan na Teargas mmenifungua macho.. imebidi niingie chimbo niangalie data za GDP
Data yenyewe hizi hapa by IMF
Kenya = 114.68
Tanzania = 77.51
View attachment 2208665View attachment 2208669
Link hii hapa
Ethiopia ni wabaya. Wao wana vita na uchumi wao bado unakuwa. Wakimaliza vita yao watatukimbiza sisi Kenya kama tumewaibia pesa yao. Usicheze na uchumi wa watu 110 million. Ni muda tu Ethiopia ichukue nafasi yake nyuma ya Algeria. Nchi zenye watu wengi huwa ni muda tu wachukue nafasi yao juu ya nchi zenye watu wachache. Kwa muda hapa Afrika SA ndio ilikuwa inatamba japo ina watu 1/4 ya Nigeria lakini Nigeria ilikuja ikachukua nafasi yake ya kwanza Afrika. Vile vile in 1970 China ilikuwa number 9, sasa hivi ipo number 2 na ni muda tu kabla hawajachukia number 1. Vile vile India ilikuwa number 10 lakini sasa ipo number 6 na ni muda tu ichukue nafasi yake number 3 na hatimaye 2.Mimi nmefurahi tumewashinda Ghana...sasa tunakimeo cha Ethiopia apo Juu...$105B-$77B kipande kipo....tutawakata taratibu hadi kieleweke...
Sasa linganisha na ya Kisumu ucheke[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa vipi.? [emoji116]View attachment 2208743usije kufa bure