Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We soja nimekuuliza kama huku kuna umeme?

Dar es salaam | Dar es salaam suburbs from the air | mbphillips | Flickr
Hizi walishakana si za kwao! 😂
 
Yani mnashangilia kusikia Tz imeweka cku za maombolezo, mbn ninyi mliweka mwezi mzima cjui wiki tatu za kuomboleza Magufuli na wala hatukuwa na mpango na nyie? Wakenya mnatushobokea sn Watz.
Anayeshobokea mwenzie ni nani kati ya Ke na Tz? Sisi tulitangaza national day of mourning kwa sababu Magufuli alikuwa rais madarakani alipofariki. Nyie nanyi kwa kutuheshimu sana mnadeclrare maombolezi kwa jamaa ambaye sio rais, yaani ameshastaafu. Sasa nani anamshobokea mwenzie?
 
Hizi walishakana si za kwao! 😂
Nimejaribu kutafuta poles za stima me sioni, hata security lights za mulika mwizi hakuna. 🤣 🤣 🤣 🤣 Nani amewai picha za hizi nyumba za Dar usiku? Nikama hawana stima bana.
 
Na joto lote hilo bado wanalala ndani ya bati? Hivi wakenya nyumba lazima iwe bati? Bati is for roofings only
Wewe umeishiwa. Wapi nyumba ya bati hapo bongolala? Ama umekosa jibu kwa hiyo barabara ukaona utafute visingizio? Jipe shuguli nanii...
 
Anayeshobokea mwenzie ni nani kati ya Ke na Tz? Sisi tulitangaza national day of mourning kwa sababu Magufuli alikuwa rais madarakani alipofariki. Nyie nanyi kwa kutuheshimu sana mnadeclrare maombolezi kwa jamaa ambaye sio rais, yaani ameshastaafu. Sasa nani anamshobokea mwenzie?
Wakunya wanafikiri ni national holiday 😂😂😂, nawaona mnafurahi utafikiri kipofu kaona mwezi

2022-4-29_11-29-24.PNG
 
Kibera ipo cbd?
Yeah ipo CBD kabsa, Kibera wanaishi watu million 2, estates zenu zote hata watu laki 3 hawafiki so yes Kibera na slums nyingine ndizo zenye wakazi wengi

Nyayo estate ndio estate kubwa yenye nyumba 4500 let's assume each house live 10 people, bado ni 45k while Nairobi ni 6 million slum place so definitely slummers are majority
 
Nani amewai ona picha ya hizi mitaa za Dar usiku? Nikama hawana stima. 🤣 🤣 🤣

Global warming effects on costal megacities in Africa
 
Back
Top Bottom