Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shut up bongolala. It's crystal clear you don't even know the meaning of the word racism. Look it up then get back to me
Jamaa Huwa anajiaibisha kweli kweli 😂😂😂. ATI wajaluo wanafanyiwa racism in Kenya 😂😂
 
Kisii - Ahero road

FM3H-JoaAAAxWH3
 
Hujawajua wanaona wivu wakiona airtanzania inaruka mikoa mingi Tanzania wakati KQ ukiondoa Kisumu hakuna mahali popote KQ inaruka, roho inawauma sana wanavyoona airtanzania inaruka mpaka unpopular regions

KQ bila Kisumu kwisha habari

View attachment 2204589
KQ flies to Malindi

KQ flies to Eldoret
images (15).jpeg
 
Ungejua ninavyofurahi nikiona unavyosumbuka!
Dawa zinakuingia wala sio siri
Dar inashinda Mombasa na dollar millionaires 500 tu wakati Nairobi inashinda Dar na zaidi ya dollar millionaires 4,000. You can't and will never change this fact even if you scream from the top of Kilimanjaro!!!
Wakati huo ww km dollar billionaire waooo ...uko fire...ndio mana waswahili walisema ngoma ya watoto haikeshi, aya mbio ukalale
 
Hujawajua wanaona wivu wakiona airtanzania inaruka mikoa mingi Tanzania wakati KQ ukiondoa Kisumu hakuna mahali popote KQ inaruka, roho inawauma sana wanavyoona airtanzania inaruka mpaka unpopular regions

KQ bila Kisumu kwisha habari

View attachment 2204589

Loooh! Sasa naelewa maumivu yake yanatokana na nini.
 
Wakati huo ww km dollar billionaire waooo ...uko fire...ndio mana waswahili walisema ngoma ya watoto haikeshi, aya mbio ukalale
Nishakuambia hata upande Kilimanjaro kelele zako hazitabadilisha chochote
 
Back
Top Bottom