Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ambaye hajawahi kuona ghorofa za udongo
🤣 🤣 🤣 🤣 Soja huku kuna stima kweli?

Dar es salaam | Dar es salaam suburbs from the air | mbphillips | Flickr
 
Ndio akili za kuku za Wakunya, akili hawana hawa watu, uzuri wanjieleza wenyewe

View attachment 2204598

View attachment 2204599
Kama kile kitabu kinaitwa university physics(UP) tulikua tunasolve a'level ndio msingi wa kuwa na uelewa mkubwa kwenye masomo ya sayansi kwa bongo . Na majority wanaosoma hayo masomo ni passion ndio maana wanaweza komaa hadi unaelewa , kibongo bongo practical ndio changamoto sio za kutosha . Sometimes uwa naangalia YouTube lecture za proffesor Walter Lewin unaona jinsi inavyokuwa kua rahisi maana anafundisha kwa practical kabisa
 
Back
Top Bottom