Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuota huku ndege zikitua mara tatu kwa wiki Geita airport (Chato)

Yaani tuombe tuwe na rais aliyekuwa moja ya sababu wakunya mchinjane maelfu!


🤣🤣🤣 Hapa hapa Jamiiforums niliona wenzenu wakisema Chato kageuzwa kuwa kiwanja cha kuanika mahindi. Mara ATCL ni hasara tupu kwa hio route.

Ukweli ni kwamba for a poor country like Tanzania, the only reason the airport was built was because it was in Magufuli's home. There are a thousand other projects that would have had more economic impact compared to the rural airport.
 
Hapa hapa Jamiiforums niliona wenzenu wakisema Chato kageuzwa kuwa kiwanja cha kuanika mahindi. Mara ATCL ni hasara tupu kwa hio route.

Ukweli ni kwamba for a poor country like Tanzania, the only reason the airport was built was because it was in Magufuli's home. There are a thousand other projects that would have had more economic impact compared to the rural airport.

Nakupa ushahidi halafu unaleta habari za mihemuko ya watu jamiiforums.

 
Wakunya wako over 56 mln!
If wishes were horses 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 pole mzee.
Tanzania is probably 75 million at this rate considering saii an average family has like 5 children
Screenshot_20220428-132655_1.jpg
 
i truely concur IamLee, imagine getting such kind of Street Views directly from google is a great feat, nb: such kind of views are spreadout in all cities and towns and all highways throughout kenya. such things can only be traced in SA, Kenya and UAE, but never in tanzania or even nigeria

View attachment 2203642View attachment 2203643View attachment 2203644View attachment 2203645View attachment 2203646
Street view inaishia border ya namanga
Screenshot_20220428-133432.png
Screenshot_20220428-133402.png
Screenshot_20220428-133254.png
Screenshot_20220428-133208.png


Lakini naona progress, the last time I checked haikuwa hata street moja, naona wameanza na ka street kamoja...
Polepole ndio mwendo

Screenshot_20220428-133104.png
Screenshot_20220428-133123.png
Screenshot_20220428-133133.png
Screenshot_20220428-133141.png
 
Morocco's population was 37m in 2020 so make it 40m, therefore 5000 people translates to .0125% while even if you place Kenya's pop to 50m, 8500 individuals make up 0.017% so do the mathView attachment 2203652
Kwann umeround off pop ya Morocco?ulifaa uiache ilivyo na bado yenu umeipunguza again
 
Wewe Google data za Kenya National Bureau of Statistics ambayo ilifanya census in 2019
View attachment 2203653

Angalia trend ya population growth after every 10 year period census...if the pop was 47m in 2019, does it make any sense that it has grown by more 8 million over the last 3 years?? Common sense..
Mpo zaidi ya 53M wataalam wa wb wameshasema,kwa mwaka wanazaliwa watoto million na zaidi uko kwenu
 
Back
Top Bottom