Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuota huku ndege zikitua mara tatu kwa wiki Geita airport (Chato)

Yaani tuombe tuwe na rais aliyekuwa moja ya sababu wakunya mchinjane maelfu! [emoji23][emoji23][emoji23]

🤣🤣🤣 Hapa hapa Jamiiforums niliona wenzenu wakisema Chato kageuzwa kuwa kiwanja cha kuanika mahindi. Mara ATCL ni hasara tupu kwa hio route.

Ukweli ni kwamba for a poor country like Tanzania, the only reason the airport was built was because it was in Magufuli's home. There are a thousand other projects that would have had more economic impact compared to the rural airport.
 

Nakupa ushahidi halafu unaleta habari za mihemuko ya watu jamiiforums.

 
Street view inaishia border ya namanga

Lakini naona progress, the last time I checked haikuwa hata street moja, naona wameanza na ka street kamoja...
Polepole ndio mwendo

 
Morocco's population was 37m in 2020 so make it 40m, therefore 5000 people translates to .0125% while even if you place Kenya's pop to 50m, 8500 individuals make up 0.017% so do the mathView attachment 2203652
Kwann umeround off pop ya Morocco?ulifaa uiache ilivyo na bado yenu umeipunguza again[emoji2][emoji2]
 
Mpo zaidi ya 53M wataalam wa wb wameshasema,kwa mwaka wanazaliwa watoto million na zaidi uko kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…