Wacha ujinga mzee. Nabisha kwa sababu hata Egypt ambayo ndio nchi inayopokea tourists wengi zaidi Afrika haipo kwenye hio list yako ya upumbavu. Hata Morocco na Tunisia wanapokea tourists wengi na hawapo. Kenya na Zambia ambazo pia zinapokea tourists wengi hazipo kwenye hio list. Punguza bangi. Hio article ya business insider ni takataka.Acha ujinga na vitakwimu vyako outdated hapa..
Kwa hiyo wewe unabishana na Bussiness Insider walionakili Takwimu kutoka shirika la Utalii Duniani?
Una akili timamu kweli? Bisha na hizi hapa 👇
View attachment 2202076
View attachment 2202077
View attachment 2202078
Egypt ilipokea 4.5 million tourists in 2021. Kwa nini hawapo kwenye hio list? Nimekuambia hio article yako ni takatakaAcha ujinga na vitakwimu vyako outdated hapa..
Kwa hiyo wewe unabishana na Bussiness Insider walionakili Takwimu kutoka shirika la Utalii Duniani?
Una akili timamu kweli? Bisha na hizi hapa 👇
View attachment 2202076
View attachment 2202077
View attachment 2202078
Thika super highway with hawkers in the median section!
Wanaendelea kujenga huku nyuma kunabomoka, Sasa wanajenga nini?Ujenzi bado unaendelea. Ungetuliza nyege tu hadi ujenzi ukamilike ndipo uanze kuonyesha makosa.
Washukuru IMF came to their rescue this week with Ksh 28b. That will offset dollar scarcity in the market.They tried hard to copy the US mode of governance, they ignored the fact that Kenya is a poor third world failed state infested with hunger among others.
Wanakuja kustuka serikali haina hela (broke), gharama za kuendesha serikali ya majimbo na wabunge uchwara wa hivyo viwilaya wanaita counties ni kubwa mno kuliko uwezo wao,
Sasa counties hazina uwezo wa kulipa hata mishahara ya watumishi, serikali ya kunya ni mwendo wa kukopa uchina.
Failed state.View attachment 2202068
Hizo sehemu za kati hata kupanda majani wameshindwa dah hii nchi mtihani kweli kuishi.Thika super highway with hawkers in the median section!
Ustaarabu mdogoNaswa. Wakenya wanachapwa viboko ili watumie footbridge [emoji23] [emoji23] . Sijui kwa nini kuna watu hawapendi kutumia footbridge na inaokoa maisha.
Naswa. Wakenya wanachapwa viboko ili watumie footbridge 😂 😂 . Sijui kwa nini kuna watu hawapendi kutumia footbridge na inaokoa maisha.
Yani hapa east Africa mlizaliwa tu wajinga naturally 😹😹😹
Thika super highway with hawkers in the median section!
Tony uwe unasoma basi hyo ni jan to october unasema mmetupitaSasa unapost mavi hapa kisha unasherehekea. Business Insider sio watu wa kuaminiwa. Mbona Kenya haipo kwenye list? Mbona Seychelles iliopokea 200,000 tourists iko kwenye list ila Kenya iliopokea revenue nyingi from tourism kuwashinda haipo kwenye list? Usiwe unapost [emoji90][emoji90] humu. Tourism sector ya Kenya imezidi yenu.
View attachment 2201986
View attachment 2201985
Thika super highway with hawkers in the median section!
.