Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2200044
Not surprised hata kidogo. Tanzania is known for witchcraft and sorcery

1650888599409.jpg
 
Kumbe Watanzania nyie huwa Wajinga hivi? Hili barabara bado halijafunguliwa na ni hatia kisheria kulitumia kabla halijakamilika. Mtu yeyote akipatikana akitumia barabara hili kabla halijakamilika anatiwa mbaroni.

Halafu naona Simon na The best 007 wamelike comment yako.
Yani kwa akili yao wanadhani barabara ilishafunguliwa? 😂
Ikifunguliwa watajua tu, mbona wanaweweseka?
 
Barabara halijfunguliwa bongolala. Save this energy for another day. Siku Itafunguliwa mtajua juu and the month is July this year
Mwezi mbaya huo badilisheni mana itafunikwa vby na treni ya umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu watakosa usingizi wakisoma hili

Kila primary school ina stima kwa kuanzia , how many pc do you have per student . Programming inataka mda labda mnataka kufundisha variable declaration, looping , conditions kwa theory . Huwezi mfundisha mtoto python halafu anaenda home ana pc wala internet . Japo wazo ni zuri sana . I hope kuwe na shule maalum haswa kuanzia seconda kwa Tanzania kufundisha programming , networking , A.I and so
 
Kumbe Watanzania nyie huwa Wajinga hivi? Hili barabara bado halijafunguliwa na ni hatia kisheria kulitumia kabla halijakamilika. Mtu yeyote akipatikana akitumia barabara hili kabla halijakamilika anatiwa mbaroni.

Halafu naona Simon na The best 007 wamelike comment yako.
ungesema haijafunguliwa tu ingetosha na ungeeleweka vizuri tu mkulungwa.
 
Mkiambiwaga huu mradi ni mkopo huwa mnabisha! Kwa hali hii Mchina hataweza rudisha fedha yake na GoK kama Guarantor itaibidi ilipe plus interest rates n capacity charges!! Endeleeni kuchezwa! I just wish to know kama ambulance na fire rescue zinaruhusiwa kupita free of charge incase of Emergency!
 
Back
Top Bottom