Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Pole sana 😂😂😂, fika Dar uje utoe ushamba, vibes za Dar hazipo CBD kabisa, kama ulifkir CBD is the place where Tanzanians go to vibe then sorry for you.. Vibes ndani ya Dar zipo Mikocheni, Masaki, Sinza, Tabata, Mbezi.. beach .. hakuna picha za mbezi beach humu, viwanja vya Mikocheni, viwanja vya masaki, wala picha za Tabata kwa wala bata, wala picha cha Sinza na viwanja vyake.. au kwako vibes ni kuona gorofa .. wewe ni lishamba la wapi.?Nairobi has a soul from CBD to suburbs you can feel the vibe. Dar hakuna kitu cha maana hakuna area ingine nyinyi hupost apart from the small area surrounding CBD. Dar ni ushago kubwa tu, lazima muingie town kuona ghorofa. 🤣 🤣 🤣