dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,685
ata kama sio leo, na jana je, na juzi je.!? btw i almost always screenshot everything including photos and dwnloads to reduce MBsize for convenience. ata hivo... kwani uko na hadhi ya kunipangania chenye nafanya. heb bambana na hali yako nanii...Hata hiz umescreenshot saa nne..kunaonekana ni usiku ila asubuh hii unasema upo nao kikaoni... "tukiwa" π
Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
Katika majengo yote ya Kunyaland hili ndio jengo zuri mengine ni upumbavu tu wa kuiga majengo ya watu mwisho mnatoa uharo, be creative, I don't think if this again is the copy and paste uharos, am in love with this building[emoji7][emoji7][emoji7]
Huyo tuusan huwa anaropoka sn, ni mkenya huyo alivamia Tz.Ushahidi wa kwanza, watumiaji wa hizo bank za kunya huwa wanaongoza kulalamika mtandao kusumbua.
Ila mimi na NMB yangu huwa tunapeta tu wala sikutani na hizo shida ndogo ndogo.
Kingine kwenye apps za mobile banking tunawachapa mapema sana wakunya.
Huyo tuusan huwa ana mihemko sn, pia ni rangi mbili achana naye.Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
Hakuna nchi yenye GDP ya $77bn ikafanya mambo tunayofanya Tz, kuna infrastructures nyingi na zenye kutisha kwa gharama zipo Dar na huwezi kuzipata East and Central Africa ila hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar.[emoji28][emoji28] Wow! Ulikuwa sober ukitype haya?
Huyo tuusan huwa anaropoka sn, ni mkenya huyo alivamia Tz.
Wewe wacha kuropoka ropoka, wewe c ni civil servant wewe? Mbona unaropoka sn? Huna data au mvivu kutafuta data? Tuna civil servant mizigo sn nchi hii.Kwani kua kwenye financial institution inabadili nn?Wewe unajua mambo ya Tz au taasisi inayokuhusu zaidi hapa hatuzungumzii uzalendo tunazungumzia uwezo nani anauwezo zaidi,stick on agenda
kaziipo!..... TMK Wanaume Family... wanaume kazi. mwendo wa npangasha..! gege gege..From left to right.
joto la jiwe chongchung Sama boy 255 na The best 007
π€£ π€£ π€£ π€£ maisha inawapiga kichapo cha punda ndani ya Dar shamba la mawe.
Aisee hii c ni Tz ya Mkapa hii wakuu.From left to right.
joto la jiwe chongchung Sama boy 255 na The best 007
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] maisha inawapiga kichapo cha punda ndani ya Dar shamba la mawe.
Jamaa anaropoka sn, alafu utakuta anaropoka kitu asichokijua kabisa.Ni mbongo ila ni wale wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
Ingekua angalau wanatushinda Kwa mchezo wowote wa maana angalau wangekua wanaeza kufuta machozi Kwa kusema bado wanatushinda kimichezo licha ya kua na stadium za kuchekeshaπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Tony254 dyfre MK254 Teargas Kafrican mwathadan Chill Njooni tucheke. Eti hizi ndio stadiums wanashinda wakitupigia kelele nazo.
Mwakwani stadium
Kaitaba Stadium
Chamazi stadium
View attachment 2187148
Ushirika stadium
View attachment 2187149
Aman Stadium
Dada hizi data zimekosewa .
Hawa watu tunawapiga kwenye michezo zote. Utasikia wakisema eti wao ni wakali kwenye kandanda ila hata huko Harambee stars huwa inaipiga Taifa stars kama mbwa koko. So basically they are hopeless kwenye michezo. Sasa kwenye rugby hata hawana rugby team, hawa wanaume wa kukula chips mayai na kupiga konyagi unakuta mwanaume anafanana mwanamke atawezana na Rugby kweli? Riadha yaani athletics ndio hawawezi chochote. Netball na volley ball wapo zero.Ingekua angalau wanatushinda Kwa mchezo wowote wa maana angalau wangekua wanaeza kufuta machozi Kwa kusema bado wanatushinda kimichezo licha ya kua na stadium za kuchekesha
Wewe weka ushahidi kwamba benki za TZ zina better financial technologies kushinda za Kenya sio kuleta masengenyo huku. Kenya ndio financial technology hub ya Africa yote. Mpesa ilivumbuliwa hapa Kenya. Visa juzi wameleta research lab yao Nairobi. Benki za Kenya ni kubwa kushinda zenu kiasi cha kwamba Benki ya nne kwa ukubwa Kenya bado ni kubwa kushinda benki yenu kubwa kabisa NMB. Weka ushahidi na upunguze uropokaji.Hujui lolote na sina haja ya kukuelewesha, Mwanaume mzima unatoa facts kwa kusikiliza majigambo? Nipo kwenye financial institutions tokea namaliza chuo, technologies tunazotumia TZ kwenye financial institutions hakuna wa kucompare hapa EAC isipokua maneno ya mtandaoni ndio watu wanaamini ujinga
umemaliza mzeeDada hizi data zimekosewa .
Data nilizotoa ni za bank of Tanzania Hao WB na IMF wanatoa BOT
Tanzania kuna uwekezaji mkubwa wa gesi mabilioni ya dola
Nchi husika ni Netherlands, UK, USA , Norway, Singapore
Kuna uwekezaji wa mabilioni ya dola wa mining nchi husika ni UK, South Africa , Canada , Australia
Kenya iliingiza $42 mil halafu unasema ni nchi yenye uwekezaji mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuliko nchi za wazungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani .
Kenya uwekezaji mkubwa ni kiwanda cha karatasi mgololo na mashamba ya chai
Kiwanda cha dangote cha saruji na mbolea uwekezajj wake utazidi $1 bil
Kenya ipo chini sana bado