babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Jamaa kachoka sana, ndio vijana wengi wa Kenya maisha yao yako hivyo, 99% ya hawa wakora tunao battle nao humu wana maisha ya hovyo sema ss wana midomo kweli kweli.
Naona picha ya mwaka jana kipindi yupo field.Hivi hamjagundua hii kitu [emoji117] IMG-00000000-WA0000 [emoji23][emoji23][emoji23]
Awe busy wapi mkuu, picha za mwaka jana hzo kipindi yupo field now yupo yupo sn kitaa na anachungulia hapo alipo ila tangu umchane kuwa hapumziki basi ndio anajifanya yupo busy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Good, atleast you are dealing with swabs and culture [emoji3] .. Something to keep you busy. Safi.
At least wewe unajua what it entails, sio kama wajinga wengine huku just talk for the sake of talking.Good, atleast you are dealing with swabs and culture [emoji3] .. Something to keep you busy. Safi.
Sawa sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani picha mbili tu ndio zimekupea pressure hivi?[emoji23]
Naona upo likizo dokta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]At least wewe unajua what it entails, sio kama wajinga wengine huku just talk for the sake of talking.
Rais hata angekuwa ni nguruwe ni ilikuwa lazima aimalize hio miradi..hela nyingi tayar imewekezwa humo.. na hio miradi uliyotaja ni muhimu kwa uchumi wa nchiKwani miradi za Magufuli nani atazimaliza kama sio mama? JNHPP na SGR nani atazimaliza kama sio mama? Aliyeanzisha na atakayemaliza wote wanastahili kupewa sifa. Sio aliyeanzisha pekee. Pia hamna pesa ya kutosha ya kuanzisha miradi mikubwa mingine. JNHPP na SGR phase 1 mpaka 5 zitanyonya pesa kama wazimu. Hamna hiyo pesa ya kuanzisha miradi mipya.
Picha ni za December. Na ni zangu, so shida iko wapi hata kama ni za 1975?Awe busy wapi mkuu, picha za mwaka jana hzo kipindi yupo field now yupo yupo sn kitaa na anachungulia hapo alipo ila tangu umchane kuwa hapumziki basi ndio anajifanya yupo busy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sent through or downloaded from WhatsApp Messenger, which may have resulted in the file size being reduced and the file's EXIF data being removed!Hivi hamjagundua hii kitu [emoji117] IMG-00000000-WA0000 [emoji23][emoji23][emoji23]
So gear imechange from being a student to being an intern?🤣🤣😂 Next itakuwa nini sasa?🤣🤣😂Naona picha ya mwaka jana kipindi yupo field.
Pole Kwa Maumivu.Naona upo likizo dokta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona maumivu haya hapa na buti la jeje dokta[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole Kwa Maumivu.
CBD ina vumbi hatari.
Do I look like a 35yr old to you?😂😂Student huyo huoni hata alivyo fukara? Asubiri miaka 30 ijayo ndiyo apate internship zen baada ya miaka 5 ya internship huenda akapata ajira, na vile ajira hamna huko Kunyaland mbona kazi anayo. Miaka 35 bado anasoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
upo kishamba sana,