Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u don't need rocket science to better understand this....... the meaning is just more than obvious...

ama basi utueleze kwa kina maana kamili. maana sisi watoto wa kunyaland hatukijui kiswahili vizuri kama nyie

ana maanisha nn basi aki imba "Godoro tunailoeka maji...."

Magodoro tumeloweka maji maana yake leo hatulali, tunakesha.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
u don't need rocket science to better understand this....... the meaning is just more than obvious...

ama basi utueleze kwa kina maana kamili. maana sisi watoto wa kunyaland hatukijui kiswahili vizuri kama nyie

ana maanisha nn basi aki imba "Godoro tunailoeka maji...."

Uo wimbo unahisu kula bata tuu!! godoro ukilimwagia maji utaweza kulala?
kwanza anaenda ap akat kishaachwa?
 
Endeleeni kumshauri mama vibaya, mtajuta...
Nyie mnaitegemea utalii sana. China haiitegemei utalii. Nyie forex yenu nyingi inatokea kwenye kuuza gold $3 billion na utalii zaidi ya $1 billion. Usijilinganishe na Uchina.
 
Hakuna mwenye wivu na Mustang, it's just a Ford.

Wewe unaona Ford ni gari ya ajabu?
Hii ni Ford Shelby Cobra, unaweza pata hakuna hata moja kama hii bongo mzima. Tembea Nairobi uone muscle cars upunguze ushamba kijana.
Ile siku Tanzania itaanza kuuza Mustang kwa showroom kuja utuambie ni gari ya kawaida tuwapigie makofi.
 
Watanzania hatushabikii vitu vya kijinga.
 
😀 Huyo dogo anawezakua alikua anaota au alipata kashkash lakini sio serious kama alivyoiunda, kuna sehemu anasema jamaa akamwambia nitarudi na condom ilhali jamaa hajui kiingereza na huyo dogo hajui kiswahili

Na yeye baada ya jamaa kufata condom kwanini haku lock mlango.
Story yake haijabalance vizuri.
 
kisha mnadai eti nairobi ni kumwadhara, heb cheki jinsi 'mungu mwenyezi' wenu zauzafrika ilivyo hatari, homicide zauzafrika naskia sio jambo kuu. ni jambo la kawaida saaana.. very minor issue i must say.! kitafanyika sahizi mchana peupe, then the next minute imesahaulika na maisha inarejea kawaida. na huo ndio mtindo wao kilaleo. walai nairobi sihami

We boya kaaga kimya tu 👹👹 hakuna nchi isiyo tegemea wageni kutoka sehemu nyingine ata kama saa nyingine haitokua chanzo kikubwa cha mapato ya nchi…. .. na ninarudia tena hakuna mtu anajali unacho sema kenge wewe 👹😈😂
Unaweza nipa share ya utalii wa nje kwenye uchumi wa china?

Umejaa matapishi ya mbwa kichwani tumbili jike wewe.

Wazalendo wa Chato,hivi ndivyo mlikuwa mnawapigania wanyonge 😂😂

Screenshot_20220417-070713.jpg

FQSMzCpXoAAgxwm.jpeg

Screenshot_20220415-072852.jpg
 
Back
Top Bottom