Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unajua kuwachapa. Mimi sikujua kwamba Kenya tunapokea revenues nyingi kwenye tourism sector kuwashinda. Halafu wanapenda kuringa sana humu kuhusu sekta yao ya utalii.
Tunapokea revenue mingi kuwaliko. Tangu KDF itulize mambo ya al-shaabab mambo tourism imeanza kuboom Tena Kenya.
 
Punguza bangi, weka data.
Data ndio hii hapa 😂😂

Screenshot_20220415-131116.png

Screenshot_20220415-131035.png
 
Vitu vidogo hivi! Mwanza city has Aga Khan Hospital too..! BTW Aga Khan Hospital in Mwanza is not even in top 5 hospitals when facility size is under consideration!
Your number one hospital can't even be in top five in Kenya.
 
Na yeye baada ya jamaa kufata condom kwanini haku lock mlango.
Story yake haijabalance vizuri.
Hili tukio halina uhalisia ni ujinga ujinga tuu wa hao wanaojiita watalii kutoka africa.
Utavokuja ndivo utapokelewa hakunaga mmbongo anaemskiza anajifanya bora kuliko mwingine
#zanzibar ni njema 'atakae na'aje.
 
kisha mnadai eti nairobi ni kumwadhara, heb cheki jinsi 'mungu mwenyezi' wenu zauzafrika ilivyo hatari, homicide zauzafrika naskia sio jambo kuu. ni jambo la kawaida saaana.. very minor issue i must say.! kitafanyika sahizi mchana peupe, then the next minute imesahaulika na maisha inarejea kawaida. na huo ndio mtindo wao kilaleo. walai nairobi sihami

South Africa na Kenya ni "Partners in crime', kwa Africa South Africa ni number 1 Kenya number 2
 
I stated here a few months ago,as a Kenyan I can't find myself back again in TZ.Any Kenyan who visits that country does so at a very high risk.Tazanians have a natural hate for Kenyans, I'm not surprised about the experience of these other foreigners.
 
Tunapokea revenue mingi kuwaliko. Tangu KDF itulize mambo ya al-shaabab mambo tourism imeanza kuboom Tena Kenya.
KDF imetuliza Alshababs?, Is Boni forest cleared from Alshababs?, Alshababs have been increasing their attacks inside Kenya in recent day, are not aware of that?

Tanzania beats Kenya on tourism not because of anything apart from the fact that we rich in tourism attractions and Tanzania is very peaceful country, even without Alshabab, crime in Kenya is very high.
 
I stated here a few months ago,as a Kenyan I can't find myself back again in TZ.Any Kenyan who visits that country does so at a very high risk.Tazanians have a natural hate for Kenyans, I'm not surprised about the experience of these other foreigners.
That is the best favour you can do for Tanzania in your life, not to come to Tanzania and convince your comrades Kunyamen not to come to Tanzania, actually we don't need you here.
 
KDF imetuliza Alshababs?, Is Boni forest clearly from Alshababs?, Alshababs have been increasing their attacks inside Kenya in recent day, are not aware of that?

Tanzania beats Kenya on tourism not because of anything apart from the fact that we rich in tourism attractions and Tanzania is very peaceful country, even without Alshabab, crime in Kenya is very high.
Which revenue are you talking about?😂😂🤣👇👇

Screenshot_20220415-131116.png

Screenshot_20220415-131035.png
 
Back
Top Bottom