Mombasa port inahandle 10,000 containers from a single ship. Nyinyi 4k ndio inawashtua🤣🤣😂🤣Hiyo nayo itabadili ukweli kwamba dar Port Ina handle 4k+ papohapo.? 😂😂 Acha kuwa chizi wewe
Ka Nairobi, yani hapo ndio kameisha hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije ukafa bure 😂😂 Heb kunywa maji upate ahueni mbuzi weweMombasa port inahandle 10,000 containers from a single ship. Nyinyi 4k ndio inawashtua🤣🤣😂🤣
Nitakuwa naipost mara kwa mara usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wow[emoji7][emoji7][emoji7], hii umetoa wapi broh. I have to save this.
Vipi mada unaihamishia kwenye supermarkets.? Sio retail stores.. 😂😂 jamaa Roho inakuuma usije ukafa bureDo you have supermarkets in Tz?😂😂
Hiyo ndio NAIROBI yote.? 😂😂😂 What else.?Nitakuwa naipost mara kwa mara usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2189825
I'll be giving you a like everytime you post it 😂😂🤣Nitakuwa naipost mara kwa mara usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2189825
Jerusalem ya Herode [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I'll be giving you a like everytime you post it [emoji23][emoji23][emoji1787]
Huo ndio ukweli kwamba ninyi ni wajinga Sana, tena ninyi ni zaidi ya wajinga.Hayo madeni yaliletwa na nini while you've confirmed to us that ATCL was not in service unlike KQ? How can you accrue debts if you are not in operation? Unatuona sisi wajinga sana? [emoji23]
Bongo mzima hakuna mtu akona brand new Mercedes GLS 63 AMG na vile munapiga kelele hapa eti you have rich people.
😂😂😂 Mtaalamu wa hizi kazi njoo ichoboy01 dili na hii kichaaHii ni gari huwezi pata kwa any showroom in the whole of Tanzania, na vile wanabweka hapa wana matajiri, kumbe pia hao wanabuy hizo magari za over 20 years. 🤣 🤣 🤣
Hivi hujui kwamba Tanzania is the biggest seller(exporter) to all other east African countries including Kenya?Nyinyi mnajua business Mbona benki zenu zinashindwa kupata faida kubwa kuliko mabenki zetu sisi ambao hatujui business?
Akuje na asijaribu kutoroka vile amezoea. 🤣 🤣 🤣😂😂😂 Mtaalamu wa hizi kazi njoo ichoboy01 dili na hii kichaa
Hahahaha, very good for excuses but very poor in production of food and job creation for your people, as the result you depend on Tanzania for food and remittancesUchumi and Nakumatt died because of mismanagement. Former Uchumi CEO Jonathan Ciano was even taken to court for corruption, abuse of office and mismanaging the company.
As for Nakumatt, they simply chewed more than they could swallow. They went on an expansion spree and this affected their books big time. There were also stories of it being a victim of fraud that ran into hundreds of millions of shillings though these are unsubstantiated claims. Their downfall had nothing to do with our market size because as they were closing branches, other companies like Naivas and Careffour were taking up those spaces. There's no single store that Uchumi or Nakumatt exited that hasn't been taken over by a different supermarket chain.
Wewe wacha kupiga kelele, tunataka kuona vitu "on the ground" wacha kuzungumzia Mambo kinadharia. Hii ndio sababu kila kitu mnakimbilia GDP ambayo haisaidii wananchi zaidi ya kujisifia kwenye makaratasi, Sasa mbona hali ya wananchi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila kukicha, " what is the impact of your supermarkets to normal Kenyans, mbona hatuoni zaidi ya ninyi kuzungumzia Mambo mliyofundishwa darasani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa siku hizi reasoning yake iko chini mno mpaka namshangaa. Hata hakuwa hivyo. Sasa supermarket ikiwa private yeye anafikiri kwamba haiwafaidi Wakenya wa kawaida. Kwa hivyo hao Wakenya walioajiriwa na hizo supermarkets hawafaidiki kwa kupata mishahara? Hao suppliers wanaosupply mikate, mboga, na kadhalika na kulipwa hawafaidiki? Kodi ambayo hizi supermarkets zinalipa kwa serikali ya Kenya, kodi hii haiwafaidi Wakenya? Rent ambazo supermarket hizi zinalipa, rent hizi haziwafaidi Wakenya? Huyo jamaa reasoning capacity yake iko chini sana halafu malazy wenzake akina The best 007 wanamsifu kwamba yeye ni genius.
Jamaa wao kazi yao ni kuongelea mambo waliofundishwa darasani 😂😂 badala ya kuzungumzia kinachoonekana, ni vilaza sana hawaWewe wacha kupiga kelele, tunataka kuona vitu "on the ground" wacha kuzunfumzia Mambo kinadharia. Hii ndio sababu kila kitu mnakimbilia GDP ambayo haisaidii wananchi zaidi ya kujisifia kwenye makarati, Sasa mbona hali ya wananchi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila kukicha, " what is the impact of your supermarkets to normal Kenyans, mbona hatuoni zaidi ya ninyi kuzunfumzia Mambo mliyofundishwa darasani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli.Lakini kuna nyingine inabidi ajiridhishe hata kama analetewa mezani.Kuna mtanzania gani hua anajua teuzi.Memo zipo tu mkuu kila mahali duniani.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo after all Rais sio kama ndio huteua kila mahali ziko nafasi yeye hupitisha kwa kua katiba inasema Rais atateua.Mfano kwenye position za kisector waziri husika ndio hupeleka majina kwa Rais ili Rais amteue mtu.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo na weledi
Umeandika insha refu sana that you could have summarized in these simple words: There's no Tanzanian bank with a customer base the size of equity or any of our leading banks.Shida yako unataka kulazimisha namna mnavyofanya biashara kenya na sisi tufanye the same swala ambalo haliwezekani, hili swala lilitokea hata kwenye swala la Safaricom na Vodacom ambapo sisi competition ni kubwa kati ya vodacom, airtel, tigo na halotell.
Vilevile kwenye financial sector kuna banks ndogondogo na microfinance nyingi sana, kuna hadi banks za mashirika mbalimbali mfano Mkombozi Bank for Roman Catholic, Maendeleo for Lutheran, n.k. amabapo haya mashirika yana institutions nyingi sana health, academic, n.k. Mwaka 2022 TZ ina 62 banks ilhali Kenya zipo 42.
Sehemu tuliyofeli na hii ndio sababu hata inaonekana GDP yetu kuwa ndogo ni BOT kuzembea kuwamanage. Na hili swala Magu alilipangia mkakati 2019 likaanza vizuri sema awamu hii ndio imeweka pembeni hilo swala
Sasa tofauti ya 1,400 na 1,500 ni gani hapo? Nyie huwa mna mchezo sana.Geza ametaka aoneshwe ya 1500 cars kama imewahi kutia nanga hapo.
Kirubi hakuwahi fikisha hata $300.001 million dollars kwenye maisha yake uache uongo 😂😂😂 Forbes report says 2011 Kirubi was ranked 31st in the list of Africa's 40 richest people but he was then dropped in 2012.. Kenyans ni maskini
You all using 2011 data then think you are making a lot of sense in 2022!😂😂😂 Kirubi kama Kirubi 👇muuni alikufa maskini View attachment 2189719
where did you get those figures from?Alikua na $171 million tu na ndio mkenya mwenye pesa nyingi kuliko wote toka dunia imeumbwa