Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni excuse tu buda, kuna services local banks na microfinances zimeimplement in such a way that mgeni itabidi utake very high risk kuiga. Na aliefanikiwa kufanya hivyo ni Exim tokea muda. Wengine kama hao equity na kcb wenu inabidi wategemee aggregators kusurvive
 
Tuonyeshe any supermarket amabayo imefungwa Kenya ikakosa kua replaced immediately. Unlike TZ, Kenya tukona supermarkets kubwa na malls hadi mitaani. Bongo hizo ni vitu unapata CBD na kwa matajiri wenye wana pesa. Majority of you munabuy vitu kwa very small retail stores. A clear indication of economy ya kadogo.
 
These are the kind of people we deal with here my brother. And they are the best Tanzania has to offer [emoji23]
Si ndiyo sisi tunawaletea chakula mnaenda kujaza mitaa yenu kwa flying toilets[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Stop looking at everything through the lenses of race. We know your economy is held hostage by Arabs and Indians and we ain't yapping about it
Tuoneshe mkunya mmoja anayemiliki japo theluthi ya uchumi wa Kenya ukitoa politicians, wazungu, wahindi na waarabu. Sisi tunao mfano Mengi family, haya taja na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida yako unataka kulazimisha namna mnavyofanya biashara kenya na sisi tufanye the same swala ambalo haliwezekani, hili swala lilitokea hata kwenye swala la Safaricom na Vodacom ambapo sisi competition ni kubwa kati ya vodacom, airtel, tigo na halotell.
Vilevile kwenye financial sector kuna banks ndogondogo na microfinance nyingi sana, kuna hadi banks za mashirika mbalimbali mfano Mkombozi Bank for Roman Catholic, Maendeleo for Lutheran, n.k. amabapo haya mashirika yana institutions nyingi sana health, academic, n.k. Mwaka 2022 TZ ina 62 banks ilhali Kenya zipo 42.
Sehemu tuliyofeli na hii ndio sababu hata inaonekana GDP yetu kuwa ndogo ni BOT kuzembea kuwamanage. Na hili swala Magu alilipangia mkakati 2019 likaanza vizuri sema awamu hii ndio imeweka pembeni hilo swala
 
Tony hujiulizi kwanini nakumat na uchumi walifeli bongo? Kwa sabau kwenye local markets na supermarkents zetu tunapata kwa bei ndogo kuliko kwao, kingine supermarkets zetu zinajiposition kwenye filling stations nani ana muda wa kwenda kupoteza kwa nakumat? Pia bei ya apple au prestige kwa supermarkets ni ileile unayoikuta kwa mangi, hivi Tony unatujua kina MANGI wewe?. So, unahitaji strategy ya maana sana kuwashinda waTZ na tena ni just about time nao wakuzidi, kinachofuata ni kufunga biashara na kurudi kwenu.

Jumia nae tulikua tunamtumia kucheki bei, ukikuta jumia kamention TZS 250, 000/= unakadiria kwa locally ntapata kwa around TZS 220,000/= unadhaani angesurvive vipi. Tulijiita WABONGO for a reason
 
Hii ni kwa sababu vyakula mnategemea kutoka nje ya Kenya na wenye supermarkets wanaweza kusafirisha mzigo mikubwa kuliko muuza genge hence low selling price kuliko muuza genge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…