ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sio kenya tu dunia nzima ina inject pesa tanzania unajua kwann?? ni nchi inayojiweza ndio maana wafanya biashara wanachukua risk kuinvest pesa zao hapa wanajua return ipo lakini hawezi kutoka mfanyabiashara akaja kuwekeza kenya kwasababu ni nchi haina mwelekeo kabisa kibishara 😂😂😂 ndio maana leo unaona uchumi, tuskys na nakumatt zimekufa, leo modern coast na yenyewe inahemea pua, viwanda vya cement na sukari vimekufa 😂😂😂Kenya controls Tanzanian economy, another $90M to de injected into Tz economy 😂
View attachment 2188021



