Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Nimeuliza picha za basi zikiwa Tabora, sijauliza shirika linalotoka Tabora. 🤣NBS ni kampuni ya Tabora kama hujuiyani Hilo Bus linatoka tabora linakwenda dar
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Tony254, I think I am better informed than you on this area as well, please try to collect as much information as you can before you reply.Nani amekuambia kwamba walidhoofishwa na Uganda? Wakati Uganda wanaingia Somalia Alshabab ilikuwa inacontrol Somalia nzima. Ilikuwa na nguvu ajabu. Baada ya kufurushwa Mogadishu na kuhamisha makao yao hadi Kismayu, bado Al shabab waliendelea kucontrol maeneo mengine yote ya Somalia isipokuwa Mogadishu. Sasa Uganda wenyewe walikiri kwamba hawawezi kuwafuata Al shabab kila mahali. Kenya iliondoa Al Shabab sio tu Kismayu ila Jubbaland yote. Jubbaland ni mkoa huko Somalia. Somalia ina mikoa minne tu. Mkoa wa Jubbaland ni mkubwa kushinda size ya Rwanda mara nne. Rwanda nne zinaingia ndani ya Jubbaland.
View attachment 2187106View attachment 2187108View attachment 2187109
Hay weka nawew basi hilo Bus la Kwale na stand yake kama ulivyodaiNimeuliza picha za basi zikiwa Tabora, sijauliza shirika linalotoka Tabora.![]()
Hao ndio wakenya, utaumiza kichwa bure, wao wanadhani Dunia yote inazunguka lakini Kenya haizungukiWho's he and who knows all this? Is jero slang for 500 started in Kenya?
Tulieni mufunzwe....we are the teachers and you are the student...
Mpaka unasahau ulichoulizaNimeuliza picha za basi zikiwa Tabora, sijauliza shirika linalotoka Tabora.![]()



now this is wht i reffer to as a rich kenyan walletUmeona sasa namna mnahangaika kucopy Tanzania?
Hiyo note mmecopy kabisa yetu without knowing we are out!😅
Kopini na hii
View attachment 2187201
Du Kweli Wakenya Mmejawa Utoto na UjingaMbona umetuma moja? Halafu nimeuliza Tabora unatuma ya Dar?
Haya, nionyeshe linaloenda Tabora. 🤣 🤣Mpaka unasahau ulichoulizaView attachment 2187625
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Haya, nionyeshe linaloenda Tabora.![]()
![]()

Unababaisha mpaka unajistukiaKwanza they are exiting more than 10 countries in africa ..and in Tz its partial exit ..Tanzanian economy is dying a painful death
Wapi Upanga , wapi kariakoo , wapi makumbusho, wapi Victoria , wapi moroccowacha tuseme tu ukweli........ cbd ya dar ni hapa tu. no other tangible business square
View attachment 2187511View attachment 2187514
Bora wajenge tram maana haya mambo ya mafuta na ukalabati wa mabasi kuna ufisadi mkubwa sana tramu inachukua watu wengi kuliko mabasi ,kama mama kiongozi kweli awekeze hiyo false 3 kuwa ya tram za umeme