Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Watu hizi fedha wanazitafuna kuzitafuna na hupati mkopo bila koneksheni na ukifanikiwa kupata mkopo lazima umpe aslimia kadhaa kwa aliye fanikisha zoezi kaz kweli kweli
 
Mkuu unajua kwamba Kitendo cha Magufuli kuzuia safari za nje na yeye mwenyewe kutosafiri hovyo ndio chimbuko la ununuzi wa ndege za ATCL?, Je safari za Kikwete zilizaa kitu gani ambacho Leo watanzania tunaweza kujivunia?
Alizalisha jina liitwalo VASCO DAGAMA
 
Alafu ukiangalia vizuri uganda wameendelea vizuri kuwashinda...wamejenga barabara nzuri sana...i was really shocked about uganda when i decided to investigate on there infrastructure..wameeendelea sana..hawa wengine nimegundua ni kelele mingi ndio maana wanaonekana wako juu lakini ukifuatilizia bure kabisa..uganda wako na ma interchanges mingi sana..hawa sijui wako na nne ama sijui tatu..










Huu ni ukweli mchungu aisee.Look at what interchange they are constructing👇

20220328_182055.jpg


20220328_182057.png


20220328_182049.jpg
 
Kazi Tunayo kwa sasa Nchi hii Sijui huko Tuendako
😁😁😁😁😁 Afu utasikia Jiwe alidhibiti Rushwa..

Yaani huna hata aibu wakati Takwimu zinaonyesha pesa zilizotolewa Kati ya 2017/2018 hadi 2020/2021 zimekuwa zikiliwa Wazalendo wa Chato na magenge yao ..

Si afadhari mama ameleta waraka wa muongozo wa matumizi ya hizo pesa 👇

Screenshot_20220414-192541.png
 


Watu hizi fedha wanazitafuna kuzitafuna na hupati mkopo bila koneksheni na ukifanikiwa kupata mkopo lazima umpe aslimia kadhaa kwa aliye fanikisha zoezi kaz kweli kweli

Toka 2017 serikali ya Wanyonge na Shujaa wa Africa ilichukua hatua gani?

Mnatakiwa kuzitapika hizo pesa stupid nyie.

Nampongeza mama Kwa kuja na waraka wa muongozo na kuzifanya ziwe zinatolewa kwa njia ya online kama pesa zingine za Serikali Ili kuweza ku track wahusika.
 
Back
Top Bottom