Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa lengo la Feasibility study of the project ni lip, huna akili unanipotezea muda wangu, nimekuuliza unajua maana na umuhimu wa Feasibility study of the project?,
 
Kikwete kaona Kenya wame launch SGR to Uganda..., alafu CoW pia was the thorn, yeye akakimbia ku plan ya Tanzania, a reactive government, a recipe' for failure.
Plan ya sgr ipo tangu enzi za mkapa ilikosa fund tu kuanza . Acha dharau za kikenya
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati report ya KNBS itatoka mwisho wa huu mwezi kwamba uchumi wa Kenya umekuwa kwa zaidi ya 7% mwaka wa 2021 sijui hawa malazy wanaoichukia Kenya watajificha wapi? 🤡💩
 
Mkuu, kwa maoni yako hizi safari za mama nje ya nchi zimekaaje?
Mi naziona ziko vizuri haswa ukizingatia priority yake ni kurudisha mahusiano yaliyokuwa yamedorora kipindi cha Mtangulizi wake! Kumbuka tuna mega projects ambazo uendelevu wake utategemea viwanda na biashara.

Ila asije akabadilishwa msimamo wa tanzania juu ya vita vya Ukraine! Najua anaenda kubanwa!



 
Mnapenda cooked data wakati the truth is hamna mafuta . Chakula mzozo , na maziwa as well . Nimeona hadi rais Kenyatta kumruhusu raisi wa ukraine a.k.a the comedy asihutubie bunge la kenya. Anaogopa kugombana na urusi
 
I remember back in 2019 the government wanted to change age limit from 8 years to 5 years and it got q lot of backlash from matatu operators, car importers,the general public and KEBS had to shelve that plan..


 
Imagine hawa wapuuzi hawana age limit kwenye gari zao na wanatudhalilisha. Hawajui hata sheria za nchi yao. Huko Tanzania hata gari ya 10 years after date of manufacture bado inaruhusiwa kuingia. Uganda sasa ndio naona angalau wameanza kujaribu kurestrict age ya magari yanayoagizwa. Nimeshangaa kusoma kwamba Kenya pekee EA ndio inarestrict age ya magari yanayoagizwa.
 
Sasa inflation kwa nchi iliojaza mafukara kama kunyaland kwanini isiwe zaidi ya disaster? Hamjitoshelezi kwa chochote kila kitu mnaimport halafu inflation iwe normal? Huna akili ya kujiuliza kwanini Tanzania na Uganda inflation ni ndogo?
 
Alafu wanasema Kenya iko na gari nzee...kitambo nilifikiria hizo magari within Kenya ambazo ziko na foreign plate numbers za TZ,SSD na UG ni ya foreigners until in 2015 when I realized actually ni ya wakenya ambao wanazinunua huko walete huku especially because of hizo age restrictions na maybe import duty per se
 
Hatuongei tu kuhusu hub. Hub ni broad term linaweza pia kuwa na maana ya medical hub au tourism hub. Tunaongea kuhusu logistics hub. Logistics maana yake hii hapa. Maana naona neno logistics linakutatiza sana.

View attachment 2185994
Sasa unalazimisha kwamba ninyi ni logistics hub wakati sio? Mnakuaje logistics hub wanakati ni Uganda tu mnaihudumia?
 
Kwaiyo unamanisha serikali yenu inachia tuu watu wamiliki silaha kiolela? Au ww ndio mpuzi unae jitetea kma mwehu? Wacha kuongea upuzi kwaiyo hao watu wa human right wasababishe kuatarisha maisha ya watu kwa kutetea upuzi?
 
20 whether u like it or not..,ukinunua gari kwa mkopo, gari ni yako, itamilikiwa na benki wakati unashindwa kulipa, ama vipi? kalilie kwa choo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitu wala hupaswi kujitoa ufaham kisa ya kudebate, unafananishaj mfumo wa ukopaji wa ndege na gari?
 
Wacha kuropoka kma umelew , uliza kwanza Tz gari ya under 2010 wametangaza kuzuiw kuingia nchini
 
Sasa unalazimisha kwamba ninyi ni logistics hub wakati sio? Mnakuaje logistics hub wanakati ni Uganda tu mnaihudumia?
Wacha bangi. Ni data gani umetumia kusema kwamba tunahudumia UG pekee? Umewahi kusoma report ya KPA?
 
Wacha kubwabwaja...uliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…