Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na tz?
 
Wanachukia how Kenyans are aggressive and why it's not them, so kuendelea kwa anything Kenyan inamuumiza sana...

Anyway I'm enjoying some real hip hop from the 255
 
Huyo mwandishi wa habari ni mjinga. By the way huyo mwandishi sio Mungu anaweza kosea pia. Nairobi expessway ni ppp. Anyway najua inauma lakini itabidi mzoee.
 
Kipevu oil terminal inadiscahrge 4 oil tankers at a go, hata sio 2 ships. Wao hawana facility kama hio.
 
Wanachukia how Kenyans are aggressive and why it's not them, so kuendelea kwa anything Kenyan inamuumiza sana...

Anyway I'm enjoying some real hip hop from the 255
Unakuta Mlazy mmoja anasema eti Dr. Mwangi asiruhusiwe kununua benki Tanzania. Jamaa anasahau kwamba nchi yao sio ya ujamaa tena. Nchi yao imekuwa capitalist country na mwenye pesa mpishe. Ikiwa Equity inataka kununua benki hapo Tanzania basi nchi ya kikapitolisti inastahili kuruhusu transaction hiyo kufanyika. Tatizo hawa Malazy wana mawazo ya kijamaa sana. Ujamaa bado haujawatoka.
 
amekataliwa na Fair competition commission hamna haja ya kwenda ku-lobby!
 
Yeye pamoja na wapumbavu wengine 529 wame invest only $1b, huenda ni biggest investor huko kwenu kwenye nchi ya giza ila co Tz.
 
sasa 4 at ago halafu huna storage capacity ni kama kuweka a cart before a donkey!
Eti hakuna oil and gas storage facilities in Mombasa??? Are you sure? Unajua Kenya ndio iko na the biggest LPG gas storage facility in East and Central Africa? Ngoje nizame nikuje na evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…