Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeuliza swali la kishamba sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Lakini tunaelewa hamna this type of infrastructure, so huwezi elewa about entry and exit ramps plus kutumia interchanges.
Nimekuambia kwenye kibao mmeandika lane 2 Nakuru 167km, lane 3 Eldoret 320km, lane 4 Mombasa 496km

Swali lanes za hiyo barabara zina urefu wa hizo distances to the respective destinations? Simple πŸ€”
 
nime realize, hawa watanganyika wakiona hawana kitu flani yenye mwenzie anayo... wanaanza kuitafutia vijimakosa ndogo ndogo.... oo, mara, the roads are unmarked, hee.. mara sasa sijui mpaka nakuru mbona sio 4lanes... mara ngeeeng... mara ngooooong
 
Karma is real,waliokuwa kwenye utukufu sasa ni zamu yao kutoa machozi..Makonda alalamika kutishiwa maisha

Mwendazake aliwaingiza Chaka vijana wake,Bora kupoteza hirizi sio kufiwa na mganga wakoπŸ‘‡πŸ‘‡

 
nime realize, hawa watanganyika wakiona hawana kitu flani yenye mwenzie anayo... wanaanza kuitafutia vijimakosa ndogo ndogo.... mara, oo.. the roads are unmarked, hee.. mara sasa sijui mpaka nakuru mbona sio 4lanes... mara ngeeeeeng mara ngooooong
 
nime realize, hawa watanganyika wakiona hawana kitu flani yenye wenzao anayo... wanaanza kuitafutia vijimakosa ndogo ndogo.... oo, mara, the roads are unmarked, hee.. mara sasa sijui mpaka nakuru mbona sio 4lanes... mara ngeeeny... mara ngooooong
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii barabara ya 4 lanes ni ya Thika na ina km 50 sasa hizo lanes zenye kilometers 467 ni za barabara ipi?

Eti lane 4 km 567? How?
 
Hivi vipanya bado vinacruise kama commuters transport Nairobi wakati Dar miaka 10 nyuma vilishapigwa ban, mna safari ndefu [emoji53]

View attachment 2184006

Na angalia YOM ya hivyo vipanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787], Si wanaendesha magari ya kuanzia 2012? Hayo madude yanatakiwa yawe museum yanafanya nini hapo?
 

Kwa sanabu hamna markings hapo ni lane moja [emoji23][emoji1787]
 
nimekuita tahira sababu mtu katoa hoja nzuri ya kawaida na inayoeleweka ila wewe unaleta story zakishamba

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…