Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha nyingi zinathibitisha kwamba gari nyingi za Dar ni mpya kuliko picha za ka Nairobi, unabisha?
Showroom zenu hata zinauza magari mzee kwa wingi, leta any recent video, picha haiwezi dhibitisha ukweli wa mambo.
 
Ila mzee kuwa specific yaani unamaanisha crops, ila all agriculture (26% of the GDP) as to mean grains (maize, rice, casava e.t.c.), fishing, livestock, pulses (beans, lentils, sesame e.t.c) n cash crops (tobacco, tea, coffee, tea, cashews, cloves, cotton, sisal, honey, algae (seaweeds)) ama? Mbona $1.3 bln inapitwa by far? In 2018 agriculture alone was over $12 bln!

 
Jamaa yuko smart sn.
 
Huwa yuko vizuri sana kichwani na anawaweza kweli hawa nyang'au. Mimi huwa tunafautiana naye kwenye chanjo ya Corona tuu, kwasababu huwa hakubali kuwa propaganda za kisiasa zilitawala kwa kuweka kando sayansi.
Hata kwenye chanjo alikuwa anaenda vzr tu na alifungua nyuzi za moto kuhusu Magu kuwa outsmart wakunya kwenye mapambano dhidi ya corona ila ghafla baada ya kuingia huyu mama nikaona kama alitaka ku change hivi lkn baadaye tukawa tunaenda sawa, yn inshort jamaa ni kichefuchefu cha wakunya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekupata mkuu, huwa lugha hizi za kisasa zinasumbua Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…