Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wamebaki na rose muhando katibiwa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa huwa wananiachaga hoi [emoji28]
Mwengine atakuambia Baba levo, wanashindwa kufanya huduma muhimu kama hizi wanaongelea xpress way ya mchina, haya majamaa hayana akili kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kipindi hapa Tanzania madaktar wengi walikuwa wakihitimu masomo yao wanakwenda nje ya nchi kutafuta kazi na wanapata. Serikali ilivyokuja kufuatilia ikagundua uhaba wa madaktar ndani ya nchi unasababishwa na maslahi madogo wanayolipwa ndio maana wanakimbilia nje japokuwa wanasomeshwa na serikali. Hiki ndicho unachokielezea hapa joto la jiwe?
 
Wewe fanya hivi, endelea kuamini unachoamini. Mimi sijaongea kwa kubahatisha. Ninabakia na nilichoandika hapo awali na wala sikuwa nabahatisha.
Ukishakuwa na brain drain what follows is brain malaise. Ndio maana tunaona weak education system that churns out low level engineers who build sand towers that keep on collapsing on daily basis.
 
Dual citizenship haina faida kwa Tanzania mkuu
Hakuna mtu anayedharau remittances but nchi zetu hutumia hela nyingi sana kusomesha wataalamu ambao wangetusaidia katika uzalishaji na kutoa huduma nchini lakini wanakwenda kufaidisha nchi nyingine. Amesema remittances TZ ni 450m pa lakini unajua the Government inatumia sh ngapi kwa education every year? Sasa the difference between spending on education and remittances per annum is what we loose yearly plus other accrued benefits if those wataalamu wangetumika hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…