The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Usiyempenda Kaja 👇
Usiyempenda Kaja 👇
70% of ABB Tanelec shares. Get that in your head ABB is minority shareholder.
Safi sana. Kazi nzuri ya serikali, vitu kama hivi ndivyo vinatufanya tushinde mkuu. Usiache kutupa update mkuu hata sisi tulioko huku kijijini nini kinaendelea.Naona kile kipande korofi cha SGR phase 1 kutoka Pugu hadi Mjini kinafanyiwa kazi zile overpasses tatu, njia panda ya majumba sita, airport na vingunguti inaonekana watu wameshalipwa fidia maana baadhi yao wameanza kuvunja nyumba zao!Kuna vitu vinakuja, I will keep posting!.
Hapa imekaa vizuri.Justinr Pitia hapa kuhusu flyover mbili mbezi
Did you attend any school really?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]70% of ABB Tanelec shares. Get that in your head ABB is minority shareholder.
Picha kwanza juu kulia mbona barabara imebana hivyo haitaleta traffic jam kweli Mr.DON.
Nzuri sana, ukikaa hapo unapunguza stress za ngedere kula mahindi yote shambani.
Nimeandika haraka haraka hadi nimekosea, vitu kama hivi ndivyo vinatufanya tuwe tunashinda humu kujua nini kinaendelea, usiache kutupa updates mkuu hata sisi tulioko huku kijijini tujue nini kinaendelea. Hapa ni zaidi ya habari unahabarishwa na kuelimishwa. Kazi nzuri sana mkuu.Safi sana. Kazi nzuri ya serikali, vitu kama hivi ndivyo vinatufanya tushinde mkuu. Usiache kutupa update mkuu hata sisi tulioko huku kijijini nini kinaendelea.
tell them even the Tanzania parliament was designed by Kenyan architects!!!!!!Did you attend any school really?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
How can a minority shareholders claim the name of the main company? For your information, Tanelec is just the short form of ABB Tanelec [emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2177996
Mzee wa mid income kang'oa tank la boda boda yake!huyu inawezekana ni TeargasView attachment 2176318
😂😂😂 man eat man society failed state yani hamna ata national reserve?
nyie ni zaidi ya wapumbafu+
designed by Kenyan architects!H
tell them even the Tanzania parliament was designed by Kenyan architects!!!!!I
Even precision Air is 49% owned by Kenya Airways [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]tell them even the Tanzania parliament was designed by Kenyan architects!!!!!!
Hahahaha kodi ya mafuta ni kubwa Kenya mara 3 ya Tanzania, umeme mara 3 ya Tanzania, internet mara 3 ya Tanzania, maji mara 5 ya Tanzania, each product mnapigwa kodi mara 3 mpaka 6 ya Tanzania na bado mnachokusanya 80% kinaenda kulipa mikopo na kulipa mishahara 😅😅😅😅