Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana. Kazi nzuri ya serikali, vitu kama hivi ndivyo vinatufanya tushinde mkuu. Usiache kutupa update mkuu hata sisi tulioko huku kijijini nini kinaendelea.
Sawa ntajitahidi kufanya hivyo ndo kwanza wameanza!kwa njia panda majumba sita dizaini yake itakuwa tofauti sana kimwonekano, I predict maana wamekwenda mbali sana kwenye ku-acquire land ile kona kali pale baada ya reli mbele kidogo inakufa kumbuka ile ni ring road pia ndipo eneo inapokutana na The Great Nyerere Super Highway!Yajayo yanafurahisha!!!.
 
Did you attend any school really?[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

How can a minority shareholders claim the name of the main company? For your information, Tanelec is just the short form of ABB Tanelec [emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 2177996
Kumbe i am dealing na kilaza hapa sikujua dah. What part of ABB Tanalec shares hujaelewa hapa just a simple English phrase inakupa shida sasa vitu complex itakuaje. For your information the company is called TANELEC na hata ulipoposti jina la kampuni ndio hivyo hivyo. Ni kama niseme Diageo East African Breweries Shares. Kama hujaelewa wewe utakuwa stupid ila kwa sasa nimekuchukulia kama ignorant.
 

View attachment 2177678View attachment 2177676

View attachment 2177679

View attachment 2177680

Tanzanian Gas Dealer Makes Headways To Enter The Kenyan Market

By Citizen Reporter
For Citizen Digital Published on: March 18, 2022 04:30 (EAT)

Tanzanian gas dealer makes headways to enter the Kenyan market


  • The gas supplier has made several unsuccessful attempts to set up operations in Kenya.
  • This included the setting up of a major gas terminal in Kilifi.
  • Last week, it made headway into the market during the seventh bilateral trade meeting between Kenya and Tanzania.

By Edwin Okoth

Tanzania’s cooking gas supplier, Taifa Gas, has finally found a way into the Kenyan market after rounds of negotiations through the East African secretariat.

The gas supplier has made several unsuccessful attempts to set up operations in Kenya including the setting up of a major gas terminal in Kilifi.

Last week, it made headway into the market during the seventh bilateral trade meeting between Kenya and Tanzania where the team pushed through the barriers Taifa Gas has had trying to invest in Kenya.

Taifa Gas and its setting of operations in Kenya were among the six key issues Tanzania tabled in the negotiations held in Zanzibar.

“Out of the issues presented by the United Republic of Tanzania, six issues were resolved , the delay of clearance of goods due to scanning procedure, delays in issuance of import permits for dairy products exports, cumbersome procedures by the Kenya Revenue Authority and difficulties experienced by Taifa Gas Tanzania Limited investing in Kenya," read the communique in part.

The gas dealer’s entry into the Kenyan market will mark a major change in the commodity’s supply chain said to be dogged by monopolies that have kept cooking gas out of reach for many households.

Just last week, dealers hiked the price of cooking gas by at least 15 per cent with the cost of refilling a 6kg gas cylinder now increased to between Ksh.1,500-Ksh.1,650 while that of refilling a 13kg cylinder pushed to between Ksh.3,300 to Ksh.3,500.

In Tanzania, Taifa Gas sells a 6kg cylinder together with grill and burner at Tsh.40,000, an equivalent of Ksh.1,970 in Kenya which is not even enough to refill the same size of a cylinder in the country presently.


The difference is partly driven by the Value Added Tax that Kenya levies on its gas, but the entry of a new player is expected to drive competition and lower the prices of the crucial commodity.

The government estimates that at least 75 per cent of households still rely on wood fuel (charcoal and firewood) as their primary cooking fuel, a health hazard that is driving the spread of respiratory illnesses, according to a Ministry of Energy Household Cooking Sector study released in 2020.

“This indicates great exposure to harmful pollutants emitted from burning wood and charcoal. Household Air Pollution (HAP) is one of the largest health risk factors for mortality in Kenya with about 21,560 deaths attributed to HAP annually; this is more than the average number of deaths caused by road accidents,” the ministry wrote in the report.

Kenya also pushed through to have regulations relaxed to allow direct flights by budget carrier Jambo Jet and the waiver of fees charged on tourist vehicles dropping visitors on the Tanzanian side of the Namanga border.



MY TAKE
After Rostam Aziz embarassed Uhuru, he had to swallow his pride and allow Taifa gas entrance in Kunyaland Now the guy is back in telecom sector with axian group! now let Bakhresa set up a shop in that market too!


kwani Teargas hii taarifa anayo?😂😂😂
 
Sawa ntajitahidi kufanya hivyo ndo kwanza wameanza!kwa njia panda majumba sita dizaini yake itakuwa tofauti sana kimwonekano, I predict maana wamekwenda mbali sana kwenye ku-acquire land ile kona kali pale baada ya reli mbele kidogo inakufa kumbuka ile ni ring road pia ndipo eneo inapokutana na The Great Nyerere Super Highway!Yajayo yanafurahisha!!!.
Kabisa kaka yajayo yanafurahisha.Mji utapendeza sana baada ya hii miradi kukamilika.
 
You know just because you say it loudly doesn't make it true.

Saa ii petrol Kenya ni KSh130. Tanzania mmepandishiwa mpaka Ksh150.

Mimi hutembea TZ mara mingi, na yes, ni kweli bidhaa ni ghali Kenya. But only by a few Shillings. Punguza bangi.

VAT ya Kenya ni 18% ya Tanzania ni 18%. Hesabu mbovu ya bongolala inakuonyesha hio ni mara tatu?
Hivi unajua gari Tanzania ni cheapest kuliko Kenya? Gari ya million 10 Tanzania, Kenya ni million 30 na ndio maana hamna magari

Screenshot_20220117-134516.png
 
Anko watu ambao ni wenyeji tz ni makabila machache sana....
Ungejua hii nchi vzur hata usingehangaika na maubaguzi yenu
Ukitaka kufukunyua asili ya watz wengi utaishia kuumwa na kichwa maana wengi kweli si asili yao, hii yote ni kwasababu hatuna ubaguzi wa kuishi na watu wengine. Ukarimu wetu,Umoja wetu.
 
Sasa wewe kenge kama Russia kashindwa kumaliza vita aseme maana alivianzisha yeye,anavyozidi kuvuta mda atasababisha tufikie kunonyeza kibatani.

Kiufupi ningekuwa kwenye position ya kukinukisha ningeshawafyatua na nukes hao kenge kitambo Sana Ili tuanze upya..

Kuendelea kuvuta mda kupigana kunaharibu Uchumi.
Kwani uliambiwa vita ni mchezo wa marede.

Kinachofanya uchumi kuyumba ni vikwazo vilivyowekwa na nchi za magharibi kwa Urusi na si vinginevyo.

Vikwazo vilivyowekwa vinaleta athari kwa Dunia nzima na si Urusi pekee.

Nimemaliza
 
Kumbe i am dealing na kilaza hapa sikujua dah. What part of ABB Tanalec shares hujaelewa hapa just a simple English phrase inakupa shida sasa vitu complex itakuaje. For your information the company is called TANELEC na hata ulipoposti jina la kampuni ndio hivyo hivyo. Ni kama niseme Diageo East African Breweries Shares. Kama hujaelewa wewe utakuwa stupid ila kwa sasa nimekuchukulia kama ignorant.
Tanelec ndio ABB Tanelec [emoji23][emoji23]

Screenshot_20220406-171402.jpg
 
Back
Top Bottom