Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara mna magari mengi ndo maana' mara mna reserve [emoji23][emoji23][emoji23] na kama mna reserves iko wapi?
af mnakataa kama nyie ni pumbavu
Reserves are there, what's happening is fuel hiding.
 
**kijana hiyo press imetolewa na nani? unademka na kitu mwanangu yupo std6 anatengeneza in 20mn?

nyie hamna mafuta wala cha reserve mnakierehere na ukraine adi mnasahau kuagiza mafuta #wajinga nyinyi
Nyinyi huwa mnapinga Kila kitu na tumewazoea[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Screenshot_20220405-113122.jpg
 
usirukeruke ka imepenya kwa mpalange....
the point is ....weka concretejangle kama hii👇kelele za nn we mkunya?View attachment 2176308
Dar na mombasa haina tofauti..Ukitaka such type of concrete...linganisha na mombasa..Hakuna siku utalinganisha Dar na Nai ..both are different cities..DAR NA Msa ni kama mama na mtoto..

1649148506933.png
1649148731706.png
 
[emoji382][emoji382]Pale sindano ikifika kwenye mfupa lazima kilio kisikike [emoji1][emoji1].

Kwa hiyo ligi mliyoanzisha ya Ukraine vs Russia ni Nairobi vs Dar si ndio? Panya jike wewe.

Kazi yangu ni hii ya kuwaonyesha sukuma gang FC mama anavyoupiga mwingi.Unune,utukane hiyo hainihusu,since those days msukule wenu ulipokuwa hai nilinyooka nao hadi mkachoka wenyewe,na this time mtachoka.

This is the way we are doing [emoji116]

View attachment 2176169
mama yako wa kambo anaupiga mwingi ,je umejiuliza uchumi wa nchi kwa sasa tokea aingie yeye upo level gani, wa kati wa chini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

naona baada ya kuupiga mwingi kwa mbele matokeo yake anaupiga mwingi kwa nyuma

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
mama yako wa kambo anaupiga mwingi ,je umejiuliza uchumi wa nchi kwa sasa tokea aingie yeye upo level gani, wa kati wa chini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

naona baada ya kuupiga mwingi kwa mbele matokeo yake anaupiga mwingi kwa nyuma

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hilo ni swali au ni jibu? The economy is growing very fast na ndio maana unaona haya ambayo yalishindikana kwa miaka 6 iliyopita enzi hizo mkizindua vyerehani mkiita viwanda 🤣🤣..

Unapozungumzia uchumi wenye tija unazungumzia matokea yanayoonekana sio propaganda 👇

Screenshot_20220331-212233.png


Screenshot_20220329-162740.png


Screenshot_20220328-120042.png


Screenshot_20220328-115637.png


Screenshot_20220328-114505.png


Screenshot_20220328-091139.png


Screenshot_20220327-172335.png


Screenshot_20220323-101351.png
 
Sasa unajua uhusiano Kati ya GDP na upungufu wa bidhaa muhimu nchini Kama mafuta, muhimu ni kwamba umejifumza kitu kipya
1) Relationship between GDP and fuel shortage
2)Government mitigation plan, when, how and why is important in situation like this.

Next time you must be humble and listen for the intention of learning not for the intention of answering
Has our GDP become bigger now bongolala?
 
Wenye akili who believe that Kenya's GDP has now become bigger overnight just because of Uhuru's move. If our GDP was smaller until yesterday and that's why we were faced with fuel shortage, hiyo pesa Uhuru alitia saini sasa ni nyinyi wenye uchumi dhabiti ndio mlitupatia?
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]kumbe kichwa yako ni ngumu kama jiwe la mtoni...
 
Umesikia alichokifanya Uhuru Kenyatta kuhusu kutoa budget(mini budget) ili kupatikana kwa mafuta ya ziada, Sasa nadhani unajua "relationship between GDP and oil shortage crisis, Sasa unajua kuhusu "Government mitigation plan". Punguza ubishi wa kijinga na uanze kujifunza Mambo mapya, usikubalii kuendelea kuwa mjinga wakati sisi wenye akili tupo na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyu mtu kichwa ni ngum sana itabidi ule ushibe ndio uanze kuelekeza, nilimwambia tena na tena nikaona napigia mbuzi gitaa
 
Back
Top Bottom