xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
watu wanajisahaulisha tuu 2014 majimbo 9 ya ukraine walfanya maandamano kujiunga russia(kama ntakuasawa ni cremea tuu ilfanikiwa) hii inakupa maana gani?kabisa na ukitaka kujua hili ngoja vita viwe cancelled kama huyo jamaa president wao ataendelea kuwepo wananchi wakirudi ukraine kwenye nchi yao lazima wataandamana kwa kutomtaka tena,,
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
■hali ikiendelea hivihivii 6month mfululizo ulaya itakuaje?