joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa jukumu la serikali yenu ni lipi?, Kwahiyo huko kwenu watu/wafanyabiashara wanaeweza kuficha mafuta na kutatiza uchumi wa nchi kwa zaidi ya siku 7 bila kuchukuliwa hatua zozote, ninyi ni wapuuzi kuzidi nchi zote hapa AfricaSoma maneno ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako... na kampuni kuficha mafuta.


