Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya has a muscle to bail itself out from a problem, than its neibas

IMG-20220404-WA0000.jpg
 
Soma maneno ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako... na kampuni kuficha mafuta.
Mojawapo ya mitigation strategies is for the government to have its own reserves as a tool to control price hikes and hoarding by fuel companies so what does the GOK do in this respect?
 
Njoo uone alichokijibu. Nilisema ngoja nimute nimuone.Mama mwenyewe muda si mrefu amesema wale wote walioiba pesa wachukuliwe hatua sasa hapo sijui atapindisha tena? Na nilisema asiwe mpole na hawa watu watamkwamisha asipowashughulikia mapema.
huyo ni mshamba tu hata asikusumbue kichwa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Yaani nimeshangaa sana mkuu kama vile anatumwa sijui, ili kumpumbaza mama kwamba anafanya kazi vizuri halafu huko baadaye mambo yaharibike akishika tama mwenyewe hawatakuwepo wala kuwa naye, wanataka kumletea stress mama yetu.

Watu wanakwenda ofisini hawashughulikiwi wakiuliza wanaambiwa mpigieni simu Magufuli aje awasaidie si ndiye aliwazoesha hivyo. Sasa unajiuliza ina maana uongozi huu hauogopwi?

Watu wa chini ndio wanajua shida na ndio wengi wanaoumia na ndipo palipo na mtaji wa wapiga kura hata mzee Kinana anaujua umuhimu wake viongozi wa shina na mitaa.

Eti tunalialia humu , kwani viongozi humu hawapiti na kuona au yeye hajui taarifa zinakusanyw vipi mpaka zifike huko juu. Kwamba za kusifia tu ndio zinafika ila zinakosoa hazitakiwi.

Mkuu ngoja tu nyamaze.
huyo ni chizi akili yake ni ndogo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom