Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hela zinazokopwa huoni kinachofanywa ama vp sijakupata
Mkuu kama wewe unaziona basi upo kwenye mnyororo sisi tutazionaje wakati vita vya Ukrain na Urusi vimeanza tangu mwaka jana
 
Kuna sehemu kweli kulikuwa na udhaifu kama binadamu ila kwa kuwa hayupo tuwe waungwana tumuache apumzike bora hata angekuwepo amestaafu angekuwa anaona na kujutia alipokosea. Ila tumuache tu apumzike kwa amani. Mama yetu tunampenda afanye kazi zake kwa ubunifu wake na siyo kudiss mtu ambaye hayupo.
 
Alivyokomesha ile kasumba ya shamba la bibi ndipo chuki ilipochipukia.
 
Da da da!!! Aisee hayo majina sidhani aisee, ebu fikiria unamletea mzazi wako cheti kimeandikwa hivyo,kwa kweli me siwezi. Ngoja tukufanyie mpango uende wewe [emoji23][emoji23]
 
Hilo jina la kwanza ni kiboko kwa maadili ya Mtanzania ni ngumu sana kwenda hicho chuo. Kwahiyo umefukunyua mtandaoni kwa ajili ya evidence tu, aisee [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jamaa anadai alikua na chuki,then yuko free kabisa imagine kama kipindi cha nyuma hata hapo nyuma ya key board angepata ujasiri huo wa kumsema rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…