Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo sasa ulikuwa unataka sisi tusaidie Waafrika wengine wakati wao walikataa kutusaidia? Sisi tuliuwawa ya kutosha kutakaamua kutulia kwanza na kujenga nchi. Nyie ambao hamkupigana kabla ya uhuru ndio mlikuwa na hamu ya kupigana na hao mabeberu baada ya uhuru.
 
Wakati wa utawala wa Germans vita ilipiganwa maeneo mengi ikiwemo ruvuma, iringa, Lindi , tabora , moshi , tanga nk
Watu wengi walikufa
 
Russia imeanza kupigwa ndani ya Russia mzee. Narudia ndani ya Russia. Yaani vita imevuka border. Kichapo kinatembea hadi ndani ya Russia.
Russia haiwezi kuomba kuondolewa vikwazo angali wanaoumia ni mabeberu na malaya zao kama akina kunyaland
 
Wakati wa utawala wa Germans vita ilipiganwa maeneo mengi ikiwemo ruvuma, iringa, Lindi , tabora , moshi , tanga nk
Watu wengi walikufa
Lakini British walipokuja huko kwenu mliamua kupigana busu nao sindio?
 
Kwani Kuna sababu ya kumpiga vijembe mtangulizi wake?, Yeye alipaswa afanye kazi vile atakavyo bila vijembe, akumbuka kwamba Magufuli ndiye aliyempendekeza kuwa makamu wa rais, kwamba walifanya kazi pamoja, kwamba wanatoka chama kimoja, Kama hakuwa anakubaliana naye alikua na nafasi nzuri ya kumshauri, Kama alishindwa au alikua hashauriki alipaswa kujiuzulu, anayofanya yanaonyesha ni kiasi gani huyu mama Hana maadili, haiba na sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
 
acha ushamba hapo indoor arena ndiyo hatuna ila soon tunafanya huo mchakato,

toa huo uchafu wa swimming

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
7 year down the line since Tanzania got its own. But the big mouthed neighbor is whining around that she has the first rink in the entire region.
😛 😆 😂
Hata ucheke vipi, first Ice rink in EA ilianzishwa Kenya.
Hii video ni ya 2011 ba tayari Kenya ilikuwa na ice rink. Nyie malazy yenu ilianzishwa 2015.
 
Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
 
Mama yupo sawa. Yule jamaa alikuwa anastahili kuwa generali wa jeshi sio raisi. Aliharibu uhusiano kati ya Tanzania na Kenya. Mimi naunga mkono uongozi wa mama 1000%. Na hata 2025 Wakenya tutakuja kumsaidia kufanya campaign ili ashinde tena.
Kwanini mnalazimisha kuwepo na uhusiano mzuri Kati ya Kenya na Tanzania?, Sisi hatutaki kuwa na uhusiano na ninyi, Kenya mlisaliti waafrika enzi za ukombozi, mliamua kuwakumbatia wazungu, kwanini msilazimishe uhusiano na wazungu?, Sisi hatutaki na Wala hatuwapendi, mtu mmoja(rais) hawezi kulazimisha watu zaidi ya 60M kuwapenda wakenya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…