Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
[emoji817][emoji817] I can't compare dodoma with anything i n Kenya, not even Turkana. I think there is an architectural deficiency in danganyikalandThere are some houses I saw being posted here za Dodoma. That's when it dawned on me that we are not on the same level....
i realy pity u on all the three my brother.. ie. jkia, kasarani, knh. mungu akusamee maana mtoto hajui alichoropoka..Are you ask questions or you are preparing debating questions?
1)JNIA vs JKIA, which is the biggest, modern and beautiful?
2)Mkapa vs Moi Kasarani stadium, who is the modern, biggest and beautiful?
3)Muhimbili vs Kenyatta hospital, who has performed many and complicated medical surgeriee, ie; Heart, ENT, Orthopedic, and bone marrow transplant?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
254[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mkenya mpuuzi ndiye anayempoteza Tony, huwa anamfuata na kumuiga katika Mambo mengi, likiwemo jina analotumia pia alimuiga yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawa hawatoki nje haka ka ghorofa, wakitoka hapo watakuonesha GTC wemaliza, Kenya maendeleo yapo sehemu ndogo sn pale Nairobi huwezi kufananisha na Tz miji mingi ina maendeleo ndiyo maana huwa vinapostiwa vitu humu wengine huwa hatuvijui kabisa, ila wakunya wanazunguka na triangle tu pale Nairobi, hako ka ghorofa, xpress way ya mchina, GTC ya mchina wamemaliza.I Wonder why we compare NBO with another desolate City
tot ni mimi tu ndo huwa napost irrelevant matters saa zingine, kumbe tuko wengi. kumbe pia gezaulole... 😆😆 karibu kwenye hii fani mkuu 🤝🏽 🤜🏽🤛🏽
Wacha upuuzi nyingii Mkunya! Umekuwa-raised kwenye mazingira hayo!This is not Kenya.
Eti Kenya Kuna demokrasia,[emoji23][emoji23][emoji23]Wanakoelekea
Tunajua akuna kitu utakula , sababu ww ni chuma ya mtuView attachment 2172516
Hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho.Alijua watu watasapoti huo upumbav wake kwa sababu huwa aona SSH alikosolewa humu.
nawaona wakivutana kwa mwaka mzima baada ya uchaguzi!huu uchaguzi sijui kama utakua salama
Watakucheka watu, hujisikii aibu kubishana na ukweli?, Hata wakenya wenzako wanakushangaai realy pity u on all the three my brother.. ie. jkia, kasarani, knh. mungu akusamee maana mtoto hajui alichoropoka..
mfano: mkapa ni kubwa zaidi ya kasarani aje, na yote mbili ni 60k pax.?
nb: architecturally speaking, kasarani has more aesthetic value than mkapa. ie. its design outshine mkapa, even though mkapa was built more recently
acha ushamba hapo indoor arena ndiyo hatuna ila soon tunafanya huo mchakato,ata uscheze mbali Tony254.. hizi pekee hazipo dar.. hehe.. View attachment 2171954View attachment 2171955View attachment 2171956View attachment 2171957View attachment 2171958View attachment 2171960View attachment 2172534
utasaidiwa vipi wakati ulikuwa unawakumbatia? hakuna nchi kwa huu ukanda ambayo haikupambana na hao watawalaHebu nikuulize ni nchi gani ya Kiafrika ilikuja kutusaidia sisi wakati tulikuwa tunauwawa na mabeberu?
Skating ice rink ya kwanza East Africa ipo Quality group tangu 2015!The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.
Balala reopens Panari ice rink, the only one in East Africa
Tourism and Wildlife secretary Najib Balala said the reopening of the rink will be a boost to ice-skating games, after Ice Lions, Kenya's only ice hockey team, hit global headlines two years ago.www.businessdailyafrica.com
kabisa hilo walisahauNchi gani ya Afrika ilisaidia Ethiopian kuwapiga waitaliano, mbona Ethiopia ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizosaidia nchi zingine kupata uhuru , Algeria nchi ya kiarabu lakini ilijitolea Sana vita vya ukombozi wa Afrika, ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana hapa Afrika.
Hivi Sasa eti mnajifanya kuhimiza umoja wa Afrika na kutaka kugombea uenyekiti wa AU, hakuna cheo cha Afrika ambacho Kenya mtapata, Afrika Kamwe haiwezikusahau usaliti wa Kenya kwa waafrika wengine