Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi hamjawahi kupigana na wazungu kama sisi tulivyofanya. Mlipewa uhuru wenu bure bila kumwaga damu.
serious?!!!,unaakili kweli ?,,,,unadhani watu huku hawakumwaga damu? ,do you know our historical au unaongea ongea tu kwa kuropoka?,

ila hatushangai tushawazoea wakenya ni wajinga kwa hili

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza wamemchelewesha Sana alitakiwa kufukuzwa kitambo Sana.

Huyu ndio alikuwa anamtumia slow slow na Ndugai kumpinga mama.

Aliwahi Pinga mradi wa Bagamoyo kwa kisingizio cha eti haumo kwenye ilani,we nani unampinga Mwenyekiti?

Safi sana kila mtu apange safi yake

View attachment 2170379
wewe ni fala,hatupo kwenye siasa hapa

tafuta jukwaa la wanasiasa wenzako, wakakukamue vizuri upo too rush

ulitaka asipingwe kwani yeye ni malaika ,kiongozi yeyote yule dunuani lazima apingwe hata ukifanya mazuri sembuse samia

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Uko na evidence kuwa Magufuli alikuwa kwenye hizo hospital za Kenya failed state?
kando na Magafuli na Tundu, pia Kizza Besigye, na burundi First Lady, wote waliwahi tibiwa at The Nairobi Hospital na sio Muhimbili
 
They are not failed hospitals to Magufuli and his family
They are not failed hospitals to most Tanzanian politicians and celebs
yan magu aache kutibiwa tz kwe advanced treatment & na upepo wa bahari & wahudumu wazuriii ....... aje ukunyani kwe mji unaonuka mavi? sura za wahudumu tafkir pumbu !!

broh hakuna hosp apo ukunyani yenye hadhi ya kumtibu hata mbwa wa tanpol ndo ije kwa kiongozi wa tz ?
 
Vita vya maji maji mlipigana na Germans. Nyinyi hamkumwaga damu dhidi ya British ambao ndio waliowapatia uhuru wenu bure bila kumwaga damu.

Cc Lusematic
British walitoa Uhuru bila vita kwasababu reasoning na negotiation skills zetu kwa wa British na league of nations ilikuwa ya hali ya juu sana unlike other African countries yours included who were bush minded with no high class reasoning and negotiation skills. Hapo lazima mtuogope IQ yetu ni kubwa sana kuliko yenu.
 
British walitoa Uhuru bila vita kwasababu reasoning na negotiation skills zetu kwa wa British na league of nations ilikuwa ya hali ya juu sana unlike other African countries yours included who were bush minded with no high class reasoning and negotiation skills. Hapo lazima mtuogope IQ yetu ni kubwa sana kuliko yenu.
Nimeshawaambia vita siyo kupigana tu kwa risasi kuna mbinu nyingi hawataki kuelewa, halafu wanajitoa ufahamu kukubali kwamba Tanzania kwenye medani ya kivita tuko mbele zaidi na hatuwezi kuzitaja mbinu zetu hapa na ndicho wanachotamani kiwe, sisi ni wazalendo wa vitendo na siyo wao wanaotumikishwa na mabeberu kuwachafua wenzao kwa ujira wa kupewa gdp ya mchongo na kusifiwa uongo.
 
Back
Top Bottom