Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Mungu Mpe Pumziko la Amani John Pombe Joseph MagufuliMabeyo na Sirro hata hawashiriki vikao vyake siku hizj, nimefurahi sana Kila alipokuwa anauliza nani yupo, anajibiwa hayupo...
Yaani hapa wamuwahishe mapema au watoe onyo kwa CCM, huyu mama hatuna kitu, ***** sawa na Steve Nyerere tu
Kwa hivyo AFP ni wajinga kusema yeye ni Mkenya? Mbona yeye mwenyewe anasema yeye ni Mkenya kwenye video nyingi tu mitandaoni? Huyu yupo kila mahali hadi nadhani alihojiwa na CNN. Huyu ni Mkenya na majina hufanana.Nzambi Matee ni jina la Congo hilo.
Elewa nilichosema, nmesema hilo jina lina asili ya Congo na sijasema kwamba huyo ni mCongo.Kwa hivyo AFP ni wajinga kusema yeye ni Mkenya? Mbona yeye mwenyewe anasema yeye ni Mkenya kwenye video nyingi tu mitandaoni? Huyu yupo kila mahali hadi nadhani alihojiwa na CNN. Huyu ni Mkenya na majina hufanana.
Yataanza vipi wakati ni zaidi ya mwaka sasa magari yanakaguliwa nchini?Ndio nakwambia, kwenye bajeti iliyopita Waziri alisema Magari yataanza kukaguliwa hapa ndani..
Nimeuliza nani amesema magari yataanza kukaguliwa nje? Na kwa sababu zipi?
Wewe umeshawahi kumuelewa anataka nn huyo mpumbavu?kwani ww ni moderator.!?. mtu asitishie Opportunity Cost. ila nnajua sikuzote mnakereka sana na ukweli wake
Wewe unafikiri kuna mtu pale? Baada ya Magufuli kuamuru ukaguzi wa magari ufanyike nchini, TBS imeongeza mapato ya vehicles inspection zaidi ya 200% na bado ajira kwa Watanzania zimeongezeka maradufu
Kuna company kubwa sana ya magari Japan ilifungua branch yao kubwa Tanzania kwa mara ya kwanza kuwa na branch Africa kutokana na maamuzi hayo na ndio tukaona hata TPA ikaongeza kiwango cha magari.
Yaani huyu mama mpaka aondoke Tanzania itakua zaidi ya kituko!
Hawa jamaa hawawezekani.Mega suspension bridge in China's mountainous southwest Guizhou province
Watanzania Kweli Wamevurugwa Awamu hii
Kha Kitaa Watu hawaelewi Wapi Wanakwenda Hahaha
Jamaa huoni unajidharirisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nobody, and i repeat.. nobody dares nairobi View attachment 2169582View attachment 2169583
Bila shaka kuna shida hapo TBS, haiwezekani utaratibu wa kukagua ndani umeanza mwaka huu tena wanabadili.
Nilisikia ishu ya ucheleweshaji na kuleta ukiritimba bandarini kwa sababu za ukaguzi,huenda ndio zimepelekea kubadili tena..
Kweli hili taahiramsikilize hapa huyo mama afu umtetee
yan hata kwa namna anavyoongea, aibu naona mimi.. zero brain kbs![emoji706]
Anavyoongea tu kuhusu huo ukaguzi unaona kabisa hayo maneno sio yeye, yani alimezeshwa usiku, shida ni kwamba huyu mama hajui vitu vingi vinavyohusiana na mamlaka yake msameheni bure hajui maskini ya Mungu, mwishowe kumeza kumemsumbua mpk ukaguzi anasema uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli hili taahira
"unakagua gari umetengeneza wewe..."
Sasa madawa na bidhaa nyingine kutoka nje TBS huwa inazikagua ili iweje sababu hazitengenezwi Tanzania!
Yaani hili ni janga kubwa zaidi ya tunavyodhani, tupo hapa Muumba atupe uhai ila mkataba wa gas ni kihama
Magufuli alitaka kujua kinaganaga kwanini plant iwe billion 30$
Investor akisema anainvest billion 30$ kwenye rasilimali yako sio jambo la kufurahia sababu hiyo pesa atatakiwa airudishe yote kwanza then ndio faida ifate, wawekezaji wana over estimate na kufluctuate gharama za uwekezaji ili wakupige kwenye return of investment capital
Atawekeza billion 1 akuambie billion 10 ili wakati anakusanya zaidi ajitetee kwamba narudisha mtaji wangu wa uwekezaji
Cha kushangaza saivi tu naambiwa sio billion 30$ tena bali zitakua billion 40$ upigaji uliotukuka japo watu wanashangilia pasi kujua ni kifo cha gas yetu hiki
Alafu anamaliza kwa kusema kwamba "unalikagua umelitengeza wewe?"Anavyoongea tu kuhusu huo ukaguzi unaona kabisa hayo maneno sio yeye, yani alimezeshwa usiku, shida ni kwamba huyu mama hajui vitu vingi vinavyohusiana na mamlaka yake msameheni bure hajui maskini ya Mungu, mwishowe kumeza kumemsumbua mpk ukaguzi anasema uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hayo ya ucheleweshaji na ukiritimba yalimalizwa na Mwendazake?yan wew ni Rais wa nchi na amri jeshi mkuu, ila uchelewaji na ukiritimba ndan ya nchi yako vinakushinda[emoji23][emoji23] huo urais unamaana gan sasa kama sio interests za watu wa nje ndo zinakuongoza
Sasa tbs kazi yake nn hapa tz kama ndo hivyo bidhaa zote zinazotoka njee waagizaji wawe wanakuja na vyeti vyao kutoka izo nchi wanazoagiza izo bidhaa na tbs ifutwe na uchafu uchafu mwingineemsikilize hapa huyo mama afu umtetee
yan hata kwa namna anavyoongea, aibu naona mimi.. zero brain kbs![emoji706]
Huwa hujitambui aiseeWakati Misukule ya Mwendazake ikiendelea kununua,SSH anaendelea na mipango yake ya kuongeza uzalishaji na kuimarisha mapato.
View attachment 2169488
View attachment 2169489
Ndugu magari hayakaguliwi kienyeji, system evaluator inakuwa plugged in kwenye gari yako ni dakika 5 tu gari inatoka, tena huko inakokaguliwa nje ndio magumashi matupu na kiufupi hakuna kinachokaguliwaHuo uamuzi haukuwa na tija hata kidogo zaidi ya kuleta usumbufu na ukiritimba, mbaya zaidi uwezekano wa kuletewa magari mabovu na wenye nayo kuyatoa kwa rushwa and that was a practice. Huwezi ku-jeopardize usalama wa watu na mazingira eti sababu unacreate local employment, huko kulijaa rushwa tu na urasimu. Hiyo sio biashara ya karne hii.